Pre GE2025 Mbunge Philip Mulugo Atangaza Rasmi Kugombea Ubunge Songwe

Pre GE2025 Mbunge Philip Mulugo Atangaza Rasmi Kugombea Ubunge Songwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unadhani kauli ya chalamila, RC aliposema ipo siku atatokea makamu wa rais mchawi akamroga rais ni ya uongo? Ndicho wateule wa rais na wengine wengi wanashinda wanaroga wanapewa nafasi ambazo hawana nazo uwezo.
Viongozi wa CCM ni washirikina sn
 
Hapo angesema "bado nina dhamira ya kutumikia Wanainchi...kwa sababu kwa huku kwetu ukitumikia Wananchi wewe ndio mnufaika namba moja kwa miaka mitano..tofauti kabisa na nikiwekeza kwenye shughuli nyingine zisizotabirika...Songwe hoye".
Kwanza ni Mwl kwanini asiende kufundisha sekondary? nako sikutumikia wananchi
 
Back
Top Bottom