PreGE2025 Mbunge Salome Makamba: Utafanyaje reform kama hata mchakato wenyewe wa kubadilisha sheria haujafanyika?"

PreGE2025 Mbunge Salome Makamba: Utafanyaje reform kama hata mchakato wenyewe wa kubadilisha sheria haujafanyika?"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
"Tusipotoshe umma kutaka kutekeleza jambo ambalo tunajua hata wale wanaopendekeza hawajatekeleza wajibu wao. Utaratibu wa utunzi wa sheria unasema mtu binafsi, Mbunge au Wizara yenye dhamana wanaweza kupeleka mapendekezo ya mabadiliko ya sheria serikalini na ukipeleka serikalini mapendekezo yale yatapelekwa Baraza la Mawaziri kwa ajili ya kuchakatwa, yataletwa bungeni kwa ajili ya kujadiliwa"

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Sio Tundu Lissu, sio Chama cha Mawakili, sio Mwanasheria, sio Mbunge, hakuna hata mtu mmoja aliyeanzisha mchakato wa mabadiliko ya sheria. Leo unasema No Reform, No Election, Utafanyaje reform kama hata mchakato wenyewe wa kubadilisha sheria haujafanyika?".

Hayo yamesemwa na Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba leo Aprili 30, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

 
Back
Top Bottom