Ni Mimi Msiogope
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 352
- 201
SALAAM!
Inakumbukwa kuwa Mhe.Joseph Selasini Mbunge wa Rombo alipata ajali mbaya ya gari na watu watatu kupoteza maisha akiwemo mama yake Mzazi... Hapa nataka kujua kama ile ile hatua iliyochukuliwa kwa Mr.Deus Mallya aliyetuhumiwa kuendesha kwa kasi na kusababisha kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tarime Marehemu Chacha Wangwe itachukuliwa kwa Mhe.Selasini?? Sheria ina wakubwa na wadogo?
Duh! Hizo ni chokochoko za utawala wa sheria!
Inategemea uchunguzi wa polisi kama kulikuwa na uzembe au hakuna.Katika makosa ya trafic kuna nia ovu peke yake hakuna nia ovu. Kwasababu hakuna anayenda apate ajali.
Issue kubwa hapo ni Reckless Driving.. Deus Mallya alishtakiwa kwa kosa hilo hilo..
Ile ya Malya ilikuwa kali zaidi,hii nadhani ni ajali tu ambayo hawezi kusimamishwa kizimbani..ngoja tusubiri tuone sheria inasemaje baada vipimo na report kutoka
hiyo ya kuwekwa mahabusu malya ni kama nilivyosema inategemea uchunguzi wa polisi walivyona kuna vitu vingi vinaangaliwa ktk upelelezi.
SALAAM!
Inakumbukwa kuwa Mhe.Joseph Selasini Mbunge wa Rombo alipata ajali mbaya ya gari na watu watatu kupoteza maisha akiwemo mama yake Mzazi... Hapa nataka kujua kama ile ile hatua iliyochukuliwa kwa Mr.Deus Mallya aliyetuhumiwa kuendesha kwa kasi na kusababisha kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tarime Marehemu Chacha Wangwe itachukuliwa kwa Mhe.Selasini?? Sheria ina wakubwa na wadogo?
Hapa unataka kusema Selasini alitumwa kumwua mama yake?
Kuwa makini mkuu!
Mkuu Mungi kwani Deus Mallya Alitumwa kumuua chacha?Hapa unataka kusema Selasini alitumwa kumwua mama yake?
Kuwa makini mkuu!