Mbunge Selasini KUBURUZWA Mahakamani

Mbunge Selasini KUBURUZWA Mahakamani

Ni Mimi Msiogope

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
352
Reaction score
201
SALAAM!
Inakumbukwa kuwa Mhe.Joseph Selasini Mbunge wa Rombo alipata ajali mbaya ya gari na watu watatu kupoteza maisha akiwemo mama yake Mzazi... Hapa nataka kujua kama ile ile hatua iliyochukuliwa kwa Mr.Deus Mallya aliyetuhumiwa kuendesha kwa kasi na kusababisha kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tarime Marehemu Chacha Wangwe itachukuliwa kwa Mhe.Selasini?? Sheria ina wakubwa na wadogo?
 
Duh! Hizo ni chokochoko za utawala wa sheria!
 
sidhani kama itakuwa hivyo kwani alikuwa anaendesha yeye mwenyewe hivyo tutegemee namna taarifa za kipolisi zitakavyo tolewa.
 
Inategemea uchunguzi wa polisi kama kulikuwa na uzembe au hakuna.Katika makosa ya trafic kuna nia ovu peke yake hakuna nia ovu. Kwasababu hakuna anayenda apate ajali.
 
Ile ya Malya ilikuwa kali zaidi,hii nadhani ni ajali tu ambayo hawezi kusimamishwa kizimbani..ngoja tusubiri tuone sheria inasemaje baada vipimo na report kutoka
 
Tatizo la Tanzania kosa huwa wanafanya wadogo tu... Ajali ya Chacha Wangwe ilitokana na Tyre Bust,,, Hii ya Mhe. Selasini pia ni Tyre Bust.. Sasa Deus Mallya aliwekwa ndani muda wote huo kwa sababu gani?
 
Issue kubwa hapo ni Reckless Driving.. Deus Mallya alishtakiwa kwa kosa hilo hilo..

Nafikiri mbali ya reckless driving,hata leseni Deus Mallya hakua nayo,hii ya Selasini inaweza kuangukia kama ya Chenge,ni mtazamo wangu tu maana si mjuzi wa vifungu vya sheria
 
Kutokana na Hukumu ya Rufaa ya Deus Mallya ni kuwa alikuwa na Leseni na Hakuulizwa ikiwa alikuwa na Leseni au la... Pili mahakama imekuja kugundua kuwa Deus Malya hakuendesha lile gari na kufutiwa hatia..
 
Ile ya Malya ilikuwa kali zaidi,hii nadhani ni ajali tu ambayo hawezi kusimamishwa kizimbani..ngoja tusubiri tuone sheria inasemaje baada vipimo na report kutoka

Hivi kuna Kali na Kali zaidi?? Mhe.Selasini wamefariki watu wanne... Deus Mallya Alifariki mtu mmoja,,, Sasa Mahakama inakuja kutengua hatia na hukumu saa hizi baada ya mtu wa watu kupotezewa muda wake gerezani..
 
hiyo ya kuwekwa mahabusu malya ni kama nilivyosema inategemea uchunguzi wa polisi walivyona kuna vitu vingi vinaangaliwa ktk upelelezi.

sawa.. Na hilo la kuhukumiwa kifungo miaka mitatu bila faini likoje?.. Manake pamoja na kukaa mahabusu mallya alihukumiwa hukumu iliyotenguliwa juzi na rufaa aliyokata
 
Ndiyo maana alikumiwa na mahakama akaomba rufaa mahakama ya juu ya iliyomhukumu ikaonekana iliyomkumu ilikosea akatengua maamuzi hayo huo ndiyo mfumo wa kutafuta haki.
 
Du! Haya sasa wataalamu wa mambo ya sheria........ Ss wengne ngoja tuwasikilize na mwisho tuunge mkono hoja kwa 100%,,,,,,,
 
SALAAM!
Inakumbukwa kuwa Mhe.Joseph Selasini Mbunge wa Rombo alipata ajali mbaya ya gari na watu watatu kupoteza maisha akiwemo mama yake Mzazi... Hapa nataka kujua kama ile ile hatua iliyochukuliwa kwa Mr.Deus Mallya aliyetuhumiwa kuendesha kwa kasi na kusababisha kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tarime Marehemu Chacha Wangwe itachukuliwa kwa Mhe.Selasini?? Sheria ina wakubwa na wadogo?

Hapa unataka kusema Selasini alitumwa kumwua mama yake?
Kuwa makini mkuu!
 
Back
Top Bottom