Ni Mimi Msiogope
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 352
- 201
- Thread starter
- #21
Du! Haya sasa wataalamu wa mambo ya sheria........ Ss wengne ngoja tuwasikilize na mwisho tuunge mkono hoja kwa 100%,,,,,,,
Tutapata Cited Case hapa.. ngoja tuone mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du! Haya sasa wataalamu wa mambo ya sheria........ Ss wengne ngoja tuwasikilize na mwisho tuunge mkono hoja kwa 100%,,,,,,,
parameter, Ni Mimi Msiogope,Mkuu Mungi kwani Deus Mallya Alitumwa kumuua chacha?
parameter, Ni Mimi Msiogope,
Iliwahi kusikika kuwa Dennis ni TIS, na alitumwa kuipunguza nguvu CHADEMA. Pia ilithibitika mahakamani kuwa Dennis hakuwa na leseni.
parameter, Ni Mimi Msiogope,
Iliwahi kusikika kuwa Dennis ni TIS, na alitumwa kuipunguza nguvu CHADEMA. Pia ilithibitika mahakamani kuwa Dennis hakuwa na leseni.
Issue kubwa hapo ni Reckless Driving.. Deus Mallya alishtakiwa kwa kosa hilo hilo..
Nani anaweza kutibitisha hayo uliyosema?? Au ni uzushi wa kawaida?
askari wetu ni maffaa*** la kweli .. Badala ya kupiga vita ili serikali iache kuingiza bidhaa fake hasa kutokea kenya wanakuja na mashairi ya ajabu ajabu hapa..
Sishangai kuwa wengi wao wana vyeti fake.