Mbunge Judith Kapinga ametoa wito kwa Wizara inayosimamia masuala ya Vijana kusaidia Wizara nyingine kuona mambo yenye tija mwa Vijana
Amesema masuala yanayohusu Vijana yanahitaji kuchukuliwa kwa tahadhari na umakini kwasababu changamoto ya Ajira ni kubwa
Ameongeza, changamoto ya Ajira inazikumba Nchi nyingi Afrika na duniani kote, lakini tofauti pekee kwa Nchi zenye changamoto hiyo ni namna/hatua zinazochukuliwa kutatua tatizo