Mbunge Shabiby ahoji utaratibu unaotumika kufungua nchi, atahadharisha Tanzania kugeuka shamba la bibi

Mbunge Shabiby ahoji utaratibu unaotumika kufungua nchi, atahadharisha Tanzania kugeuka shamba la bibi

Hii nchi IPO kwenye autopilot! Unategemea nini?
Faida ya kushusha bei ya mafuta ilikuwa na bei ya vitu vingine vishuke kuleta unafuu wa maisha.

Lakini sasa kama tunaambiwa kushusha bidhaa zingine inahitaji mchakato mrefu ,kwa kweli inasikitisha sana
I
 
Yaani Mchina alete maendeleo Afrika unaota wewe
Wanaleta vizuri tu wakibanwa vizuri...kuna wachina wana mashamba makubwa sana Africa na wanafanya uzalishaji mzuri tu wa mazao,
Ni serikali kuwabana tu vizuri walipe kodi na kuajiri wazawa

Sisi waafrika tunacheza tu ndomboloo
 
Shabiby na Kishimba nawakubali sana. Hawana njaa ndogo ndogo, hivyo huwa wanaongea mambo ya maana
 
Back
Top Bottom