Hero JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 3,932 Reaction score 2,839 Jun 1, 2022 #101 Hii nchi IPO kwenye autopilot! Unategemea nini? Kiturilo said: Faida ya kushusha bei ya mafuta ilikuwa na bei ya vitu vingine vishuke kuleta unafuu wa maisha. Lakini sasa kama tunaambiwa kushusha bidhaa zingine inahitaji mchakato mrefu ,kwa kweli inasikitisha sana Click to expand... I
Hii nchi IPO kwenye autopilot! Unategemea nini? Kiturilo said: Faida ya kushusha bei ya mafuta ilikuwa na bei ya vitu vingine vishuke kuleta unafuu wa maisha. Lakini sasa kama tunaambiwa kushusha bidhaa zingine inahitaji mchakato mrefu ,kwa kweli inasikitisha sana Click to expand... I
The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,582 Reaction score 14,167 Jun 1, 2022 #102 Kiturilo said: Faida ya kushusha bei ya mafuta ilikuwa na bei ya vitu vingine vishuke kuleta unafuu wa maisha. Lakini sasa kama tunaambiwa kushusha bidhaa zingine inahitaji mchakato mrefu ,kwa kweli inasikitisha sana Click to expand... Bidhaa hazishuki kwa matamko
Kiturilo said: Faida ya kushusha bei ya mafuta ilikuwa na bei ya vitu vingine vishuke kuleta unafuu wa maisha. Lakini sasa kama tunaambiwa kushusha bidhaa zingine inahitaji mchakato mrefu ,kwa kweli inasikitisha sana Click to expand... Bidhaa hazishuki kwa matamko
Kiturilo JF-Expert Member Joined Sep 27, 2021 Posts 708 Reaction score 2,859 Jun 1, 2022 #103 The Sunk Cost Fallacy said: Bidhaa hazishuki kwa matamko Click to expand... Ila mafuta yanashuka kwa matamko
The Sunk Cost Fallacy said: Bidhaa hazishuki kwa matamko Click to expand... Ila mafuta yanashuka kwa matamko
The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,582 Reaction score 14,167 Jun 1, 2022 #104 Kiturilo said: Ila mafuta yanashuka kwa matamko Click to expand... Hayo ni matamko? Hujaona Calculation?
Kiturilo said: Ila mafuta yanashuka kwa matamko Click to expand... Hayo ni matamko? Hujaona Calculation?
J Johnny Sack JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 8,984 Reaction score 19,288 Jun 1, 2022 #105 idawa said: Yaani Mchina alete maendeleo Afrika unaota wewe Click to expand... Wanaleta vizuri tu wakibanwa vizuri...kuna wachina wana mashamba makubwa sana Africa na wanafanya uzalishaji mzuri tu wa mazao, Ni serikali kuwabana tu vizuri walipe kodi na kuajiri wazawa Sisi waafrika tunacheza tu ndomboloo
idawa said: Yaani Mchina alete maendeleo Afrika unaota wewe Click to expand... Wanaleta vizuri tu wakibanwa vizuri...kuna wachina wana mashamba makubwa sana Africa na wanafanya uzalishaji mzuri tu wa mazao, Ni serikali kuwabana tu vizuri walipe kodi na kuajiri wazawa Sisi waafrika tunacheza tu ndomboloo
Faka25 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2021 Posts 1,738 Reaction score 1,134 Jun 9, 2022 #106 The Sunk Cost Fallacy said: Ana ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake? Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake. Click to expand... Mwaka huu tuzo unachukua wewe
The Sunk Cost Fallacy said: Ana ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake? Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake. Click to expand... Mwaka huu tuzo unachukua wewe
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,351 Reaction score 9,855 Jul 10, 2022 #107 Shabiby na Kishimba nawakubali sana. Hawana njaa ndogo ndogo, hivyo huwa wanaongea mambo ya maana