Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Amebanwa maswali manne hakuna hata moja alilotoa jibu la maana kama mwakilishi.
1. Anasema uchumi ulikuwa umeanguka. Akaulizwa kama uchumi ulianguka kipindi cha Magufuli mbona hakuwahi kusema hayo kipindi cha Magufuli anasema leo?
2. Ameulizwa kwa nini bunge limegeuka kuwa chombo cha kusifia serikali badala ya kuwajibisha na kuisimamia. Anaulizwa unasema Wilayani wamekula hela lakini bungeni unapiga makofi,tukueleweje? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
3. Ameulizwa kama kila mwananchi analalamikia tozo,Je wao walienda kuwasilisha mawazo ya mwananchi gani bungeni
Huyu jamaa bure kabisa, angekwepa hayo maswali, majibu yake yameonyesha kuwa kichwani amejaza maduaraSasa Shigongo unatuchanganya
Kama kuna Fiscal deficit maana yake inabidi upunguze matumizi na si kuongeza kodi
Pia kwenye uchumi ambao uko slow, maana yake ni kuwa hata wansnchi wanasuffer, Sasa solution tangu lini ikawa ni kuwaongezea kodi?
Shigongo ni miongoni mwa wabunge weupe mno kichwani , hivi alipataje hela huyu ?
Amebanwa maswali manne hakuna hata moja alilotoa jibu la maana kama mwakilishi.
1. Anasema uchumi ulikuwa umeanguka. Akaulizwa kama uchumi ulianguka kipindi cha Magufuli mbona hakuwahi kusema hayo kipindi cha Magufuli anasema leo?
2. Ameulizwa kwa nini bunge limegeuka kuwa chombo cha kusifia serikali badala ya kuwajibisha na kuisimamia. Anaulizwa unasema Wilayani wamekula hela lakini bungeni unapiga makofi,tukueleweje? 🤣🤣🤣🤣🤣
3. Ameulizwa kama kila mwananchi analalamikia tozo,Je wao walienda kuwasilisha mawazo ya mwananchi gani bungeni
Hili la tozo kazunguuuuka, mwisho kaja kulekule kua inaumiza wananchi sasa sijui anachokitetea hapo ni nini.
Amebanwa maswali manne hakuna hata moja alilotoa jibu la maana kama mwakilishi.
1. Anasema uchumi ulikuwa umeanguka. Akaulizwa kama uchumi ulianguka kipindi cha Magufuli mbona hakuwahi kusema hayo kipindi cha Magufuli anasema leo?
2. Ameulizwa kwa nini bunge limegeuka kuwa chombo cha kusifia serikali badala ya kuwajibisha na kuisimamia. Anaulizwa unasema Wilayani wamekula hela lakini bungeni unapiga makofi,tukueleweje? 🤣🤣🤣🤣🤣
3. Ameulizwa kama kila mwananchi analalamikia tozo,Je wao walienda kuwasilisha mawazo ya mwananchi gani bungeni
Huenda Chuoni alispecialize facebookHuyu jamaa bure kabisa, angekwepa hayo maswali, majibu yake yameonyesha kuwa kichwani amejaza maduara
[emoji38][emoji38][emoji38]Nahisi Chuo alispecialize facebook
Kwahiyo ukipunguza kodi mapato yanaongezeka?Sasa Shigongo unatuchanganya
Kama kuna Fiscal deficit maana yake inabidi upunguze matumizi na si kuongeza kodi
Pia kwenye uchumi ambao uko slow, maana yake ni kuwa hata wansnchi wanasuffer, Sasa solution tangu lini ikawa ni kuwaongezea kodi?
Hivi Shigongo naye ni Mbunge?
Amebanwa maswali manne hakuna hata moja alilotoa jibu la maana kama mwakilishi.
1. Anasema uchumi ulikuwa umeanguka. Akaulizwa kama uchumi ulianguka kipindi cha Magufuli mbona hakuwahi kusema hayo kipindi cha Magufuli anasema leo?
2. Ameulizwa kwa nini bunge limegeuka kuwa chombo cha kusifia serikali badala ya kuwajibisha na kuisimamia. Anaulizwa unasema Wilayani wamekula hela lakini bungeni unapiga makofi, tukueleweje? 🤣🤣🤣🤣🤣
3. Ameulizwa kama kila mwananchi analalamikia tozo,Je wao walienda kuwasilisha mawazo ya mwananchi gani bungeni
Daaaa eti binge la kijaniBunge la kijani