Kwangu huyu si mwandishi ni opportunist ambaye alichukua ile gap na akatengeneza pesa yake kwa njia isiyo halali,udaku wa magazeti yake hakujali kabisa effects zilizowapata aliokua akiwaandika au familia zao mfano mzuri yule model Fiderine,Shigongo ali maximise profit wakati yule model alihitaji zaidi msaada katika industry yake,shame on him halafu leo ninaambiwa ni Hon. MP!!!