Wanaccm wanaamini uchumi kukua ni wao kuendelea kupata fedha za kuchezea.Sasa Shigongo unatuchanganya
Kama kuna Fiscal deficit maana yake inabidi upunguze matumizi na si kuongeza kodi
Pia kwenye uchumi ambao uko slow, maana yake ni kuwa hata wansnchi wanasuffer, Sasa solution tangu lini ikawa ni kuwaongezea kodi?
Mtu ukiwa na yako kichwani, huwezi kumwelewa atakayezungumza kinyume na matakwa yako. Shigongo amejitahidi
Amebanwa maswali manne hakuna hata moja alilotoa jibu la maana kama mwakilishi.
1. Anasema uchumi ulikuwa umeanguka. Akaulizwa kama uchumi ulianguka kipindi cha Magufuli mbona hakuwahi kusema hayo kipindi cha Magufuli anasema leo?
2. Ameulizwa kwa nini bunge limegeuka kuwa chombo cha kusifia serikali badala ya kuwajibisha na kuisimamia. Anaulizwa unasema Wilayani wamekula hela lakini bungeni unapiga makofi, tukueleweje? 🤣🤣🤣🤣🤣
3. Ameulizwa kama kila mwananchi analalamikia tozo,Je wao walienda kuwasilisha mawazo ya mwananchi gani bungeni
huu ndio uchawi sasa,wote tunasema lugha moja humuMtu ukiwa na yako kichwani, huwezi kumwelewa atakayezungumza kinyume na matakwa yako. Shigongo amejitahidi
Huyu ni mbunge wa kuchonga hana lolote
Amebanwa maswali manne hakuna hata moja alilotoa jibu la maana kama mwakilishi.
1. Anasema uchumi ulikuwa umeanguka. Akaulizwa kama uchumi ulianguka kipindi cha Magufuli mbona hakuwahi kusema hayo kipindi cha Magufuli anasema leo?
2. Ameulizwa kwa nini bunge limegeuka kuwa chombo cha kusifia serikali badala ya kuwajibisha na kuisimamia. Anaulizwa unasema Wilayani wamekula hela lakini bungeni unapiga makofi, tukueleweje? 🤣🤣🤣🤣🤣
3. Ameulizwa kama kila mwananchi analalamikia tozo,Je wao walienda kuwasilisha mawazo ya mwananchi gani bungeni
Tangu hapo bunge halina msaada wowote kwa wananchi. Ni rubber stamp ya Serikali na hapo ndio unaona umuhimu wa katiba mpya..kwa mujibu wa shingogo ni kuwa ikiwa Raisi hataguswa na kilio au malalamiko ya wananchi wabunge hawatakuwa na msaada wowote.
Spika ni Ndugai, hatari snHivi kwa aina ile ya wabunge ambao jiwe aliwaweka kwa malengo yake mnadhani wana uwezo wa kujenga hoja?mnajisumbua bure
Katiba mpya tuidai bila kuogopaTangu hapo bunge halina msaada wowote kwa wananchi. Ni rubber stamp ya Serikali na hapo ndio unaona umuhimu wa katiba mpya