McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Makubwa haya jamani
-----------------
Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Simai Mohammed Said, amependekeza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania liwe na eneo maalumu la wabunge kukutana na kutuliza nafsi pamoja na kuanzishwa kwa bendi ya muziki ya Bunge, akimtaja Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale, kuwa meneja wake.
Kauli hiyo imetolewa wakati Mbunge Simai akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2026/2027, iliyowasilishwa jana na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba.