Aisee taifa lipo kwenye laana hii sio bure
wananchi wapo kwenye taharuki ya mfumuko wabei, mwakilishi anawaza watengenezewe sehemu ya starehe?
Yaaan uchumi wa nchi umeguswa watu wanajadili mziki 😀😀. Aisee sijui lini sisi kama nchi tutakua siliazi yaan bunge linajadili upuuzi na wakotoka hapo wanalipwa posho
Wakiongozwa na Mwajuma wa Kizimkazi.Naunga mkono hoja. Yule wa mvinyo wa Melbourne naye aanzishe bar kwa ajili yetu kupiga mvinyo. Mama wauza nao bungeni waanzishe dan gulo lao.
Msiwalaumu, hawakuchaguliwa na mtu yoyote na wala hawamuwakilishi mtu yoyote japo wanakula mamilioni ya pesa za walipa kodi.Yaaan uchumi wa nchi umeguswa watu wanajadili mziki 😀😀. Aisee sijui lini sisi kama nchi tutakua siliazi yaan bunge linajadili upuuzi na wakotoka hapo w
Kauli hizi zinadhihirisha ni wabunge wa mchongo.Kauli hiyo imetolewa wakati Mbunge Simai akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2026/2027, iliyowasilishwa jana na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba.