Mbunge Sospeter Muhongo ameniogopesha kwa kauli yake kuhusu ujenzi wa bwawa la Rufiji; je, kuna haja ya wabunge wote kupimwa akili?

Unamwita Ndugai.. ndugu gay 😂😂😂
 
Kinachotafutwa ni kuua mradi wa umeme na kuupa nguvu mradi wa gesi asilia
Team #Sukuma gang
vs
Team #MsogaFC

Dhaifu kaingia na kasi sana awamu hii,,
 
Ndio madhara ya kila Rais kuja na maono yake. Hilo bwawa ni very important kwa ajili ya kufua umeme mwingi tuendeshe viwanda vyetu(Serikali ya viwanda) . Kwa sasa lazima likamilike maana tumeambiwa na Mh. Sasha, tumeachiwa urithi.
 
Ivi umesikiliza speech yake mwanzo mwisho au na wewe umedandia tu heading za waandishi wetu uchwara, Prof. Hakusema iko kitu kinachosambaa kwenye mitandao, go back and refer to his speech, utaamini waandishi wetu wa kibongo ni wapotoshaji.
 
Kinachotafutwa ni kuua mradi wa umeme na kuupa nguvu mradi wa gesi asilia
Team #Sukuma gang
vs
Team #MsogaFC

Dhaifu kaingia na kasi sana awamu hii,,
Gasi asilia haijapigwa bei na mzee wa msoga kweli, JPM hakutibua madudu ya Jk kwenye huo mradi.
 
Ivi umesikiliza speech yake mwanzo mwisho au na wewe umedandia tu heading za waandishi wetu uchwara, Prof. Hakusema iko kitu kinachosambaa kwenye mitandao, go back and refer to his speech, utaamini waandishi wetu wa kibongo ni wapotoshaji.
Huwezi ukang’ata na kupuuliza halafu ukategemea huo ndio ukawa utetezi, alichosema kila mtu amekisikia, labda uje useme ni kipi wamemsingizia
 
Ivi umesikiliza speech yake mwanzo mwisho au na wewe umedandia tu heading za waandishi wetu uchwara, Prof. Hakusema iko kitu kinachosambaa kwenye mitandao, go back and refer to his speech, utaamini waandishi wetu wa kibongo ni wapotoshaji.
Tuambie wewe huyo prof muongo wako alisemaje maana nimeisikiliza hiyo speech yake ipo sawa kama mtoa mada anvyosema. Tufafanulie vizuri mwenzetu labda wewe ume-overstand!
 
Huyu mzee asiachwe hivihivi, ashughulikiwe, iwe mfano kwa wengine wanaotaka kujitoa ufahamu!

Kifo cha magufuli limekuwa pigo kwa moyo wangu na mtanzania mwenye kuelewa ukweli wa mambo

Wengine hawa hawana la kupoteza, ni wezi walojaa ujinga mwili mzima hataivo hawana la kupoteza ndo maana wanaisaliti nchi kwa sababu zao za kibinafsi, hata ukisema tuichome nchi nzima kama karatasi a tabularasa M.P anasema ni sawatu.
 
Wabunge wa bunge la kumi.na mbili wanatia kinyaaa
 
CORONA naye anatuangusha, kuna muda anahitajika afanye maamuzi kwa faida ya wengi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…