Mbunge Sospeter Muhongo ameniogopesha kwa kauli yake kuhusu ujenzi wa bwawa la Rufiji; je, kuna haja ya wabunge wote kupimwa akili?

Tangu niliposikia kauli ya Mbunge Sospiere Mukweli akisema kwamba ujenzi wa mabwawa ya kufua umeme kwa sasa yamepitwa na wakati, akili yangu imevurugika kabisa nisielewe nini kinaendelea kichwani mwa wabunge wetu, nimeogopa sana.
Na hii imekuja baada ya ile kauli ya hayati Rais John Joseph Pombe Magufuli ya kwamba mtu anayeweza kukubali masharti ya mkataba wa Bandari ya Bagamoyo ni mlevi tu (aliyechanganyikiwa) kudhihirika kwa mbunge Kazi Ndugu gay; nimetetemeka sana.

Kuhusu suala la mabwawa ya kufua umeme kuwa yamepitwa na wakati, niseme tu out right, bila uwoga wala aibu, ni uwendawazimu, hakuna sane person katika hii dunia, let alone a professor, anaweza kutoa ile kauli, nawahakikishia, zungukeni hii dunia yote, hakuna binadamu mwingine hata mmoja anaweza kukubaliana na hiyo kauli, nitaeleza kwanini.

1.) Dunia kwa sasa inapambana kwa nguvu zote na tatizo la ‘Global warming’, katika vita hii, mbinu kubwa inayotumika ni kupunguza matumizi ya nishati zinazozalisha hewa ya ukaa (fossil fuels), na badala yake wanahimiza matumizi ya ‘renewable energy sources’ ambazo ni ‘sustainable’ na hazizalishi hewa za ukaa (greenhouse gases) na hivyo kupunguza kasi ya mabadiliko ya tabia nchi. Renewable sources zinazohimizwa ni kama Nishati ya upepo ‘Wind turbines/mills), Nishati joto (Geothermal), Nishati jua (Solar energy) nk; lakini kubwa na yenye uhakika zaidi ni umeme wa nguvu ya maji (Hydroelectric power/ HEP) kama hii tunayojenga sisi. Na ndio maana ifikapo mwaka 2030, nchi nyingi hasa za ulaya, zimepanga kupiga marufuku magari yanayotumia ‘fossil fuels’ na badala yake wataruhusu gari za umeme tu. Sasa mniambie, with all due respect, na sina nia ya kumvunjia mtu heshima, hivi, mtu anaesema umeme wa nguvu ya maji umepitwa na wakati, yuko sawa katika utimamu kamilifu wa fahamu zake?!

2.) Nchi zote zinazokua kiuchumi zinategemea viwanda imara vyenye ufanisi na tija katika uzalishaji kiasi viweze kushindana katika soko la ndani na soko la kimataifa. Pia inafahamika, nishati ya uhakika na ya bei nafuu ndio kiungo muhimu katika kufanikisha uimara na ufanisi wa viwanda vyenye tija ya uzalishaji. Katika vyanzo vya umeme salama na vyenye gharama nafuu zaidi katika uzalishaji ni umeme utokanao na nguvu ya maji, hata taahira anaekota makopo majalalani anaujua ukweli huu, sembuse Profesa??!!! hivyo basi, kwa kauli mbiu ile ile ya Hayati Rais John Joseph Pombe Magufuli ya uchumi imara utajengwa na viwanda (Tanzania ya viwanda),na wote tunafahamu ile multiplier effect ya uwepo wa viwanda, kuanzia ajira, ukusanyaji kodi nk; sasa sioni ni namna gani mtu mwenye ukamilifu wote katika fahamu zake, anaweza kusema kwamba uzalishaji umeme kwa mabwawa umepitwa na wakati, no way!!

3.) Mabwawa ya kufua umeme huwa hayatumiki kwa ajili ya kufua umeme tu pekee yake, haya mabwawa hutoa chanzo cha uhakika cha maji kwa ajili ya shughuli mbalimbali kwa ajili ya kilimo na matumizi mengine ya binadamu na mifugo, ambapo bila uwepo wa bwawa, hayo maji yangemwagikia tu baharini huku wanachi wakibaki na uhaba wa maji bila sababu ya msingi, na wote tunajua multiplier effect itokanayo na kilimo cha uhakika (irrigation) tofauti na kilimo cha kubahatisha mvua. Hivyo mabwawa ya kufua umeme hayawezi kuwa yanepitwa na wakati, no way!!!

Naoendekeza huyo Profesa aende bungeni kwa magoti na kuomba msamaha kwa kauli yake ya kinafiki, na aeleze, ni kwanini amefanya vile??! Kitu kibaya sana amefanya huyu mzee, WaTanzania kwanini mnamkalia kimya huyu mtu, ashikiwe bango akaombe msamaha!!!

Na bado Bwana Kazi Ndugu gai...

Sasa je, kuna umuhimu wa kidharura wa kuwapima akili wabunge wote??!!!!
Unamwita Ndugai.. ndugu gay 😂😂😂
 
Kinachotafutwa ni kuua mradi wa umeme na kuupa nguvu mradi wa gesi asilia
Team #Sukuma gang
vs
Team #MsogaFC

Dhaifu kaingia na kasi sana awamu hii,,
 
Ndio madhara ya kila Rais kuja na maono yake. Hilo bwawa ni very important kwa ajili ya kufua umeme mwingi tuendeshe viwanda vyetu(Serikali ya viwanda) . Kwa sasa lazima likamilike maana tumeambiwa na Mh. Sasha, tumeachiwa urithi.
 
Ivi umesikiliza speech yake mwanzo mwisho au na wewe umedandia tu heading za waandishi wetu uchwara, Prof. Hakusema iko kitu kinachosambaa kwenye mitandao, go back and refer to his speech, utaamini waandishi wetu wa kibongo ni wapotoshaji.
 
Kinachotafutwa ni kuua mradi wa umeme na kuupa nguvu mradi wa gesi asilia
Team #Sukuma gang
vs
Team #MsogaFC

Dhaifu kaingia na kasi sana awamu hii,,
Gasi asilia haijapigwa bei na mzee wa msoga kweli, JPM hakutibua madudu ya Jk kwenye huo mradi.
 
Ivi umesikiliza speech yake mwanzo mwisho au na wewe umedandia tu heading za waandishi wetu uchwara, Prof. Hakusema iko kitu kinachosambaa kwenye mitandao, go back and refer to his speech, utaamini waandishi wetu wa kibongo ni wapotoshaji.
Huwezi ukang’ata na kupuuliza halafu ukategemea huo ndio ukawa utetezi, alichosema kila mtu amekisikia, labda uje useme ni kipi wamemsingizia
 
Ivi umesikiliza speech yake mwanzo mwisho au na wewe umedandia tu heading za waandishi wetu uchwara, Prof. Hakusema iko kitu kinachosambaa kwenye mitandao, go back and refer to his speech, utaamini waandishi wetu wa kibongo ni wapotoshaji.
Tuambie wewe huyo prof muongo wako alisemaje maana nimeisikiliza hiyo speech yake ipo sawa kama mtoa mada anvyosema. Tufafanulie vizuri mwenzetu labda wewe ume-overstand!
 
Huyu mzee asiachwe hivihivi, ashughulikiwe, iwe mfano kwa wengine wanaotaka kujitoa ufahamu!

Kifo cha magufuli limekuwa pigo kwa moyo wangu na mtanzania mwenye kuelewa ukweli wa mambo

Wengine hawa hawana la kupoteza, ni wezi walojaa ujinga mwili mzima hataivo hawana la kupoteza ndo maana wanaisaliti nchi kwa sababu zao za kibinafsi, hata ukisema tuichome nchi nzima kama karatasi a tabularasa M.P anasema ni sawatu.
 
CORONA naye anatuangusha, kuna muda anahitajika afanye maamuzi kwa faida ya wengi...
 
Back
Top Bottom