FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #41
Hakuna fisadi anayeupenda huo mradi maana hauwanufaishi. Mitambo ya IPTL wakati ule ilikuwa ikiwashwa au usiwashwe walikuwa wanalipwa capacity charge milioni 400 kila siku. Kelele za kupinga huo mradi ni kutokana na kwamba utapunguza au kumaliza ulaji wa mafisadi.
Tufanyeje sasa jamani? Hadi leo eti crane ya kubeba milango ya tani 26 bado haijapatikana, kweli?!!Hskuna fisadi anayeupenda huo mradi maana hauwanufaishi. Mitambo ya IPTL wakati ule ilikuwa ikiwashwa au usiwashwe walikuwa wanalipwa capacity charge milioni 400 kila siku. Kelele za kupinga huo mradi ni kutokana na kwamba utapunguza au kumaliza ulaji wa mafisadi.
Tupe ripoti mkuuMradi unaendelea vizuri
Magufuli oyeeee
Likamilishwe na nani?Hili bwawa likamilishwe!
Tulikalimishe kwa pesa za mkopo au tozo?Wananchi tunaomba huu mradi ukamilishwe habari za mazingira tuwaachie wazungu ss tunataka umeme
Wanadai wameagiza crane la tani 26 eti, hadi leo halijafika, daahWananchi tunaomba huu mradi ukamilishwe habari za mazingira tuwaachie wazungu ss tunataka umeme
Kwani mzee Magu alipolianzisha na akaliacha 70%fedha alitoa wapi?Tulikalimishe kwa pesa za mkopo au tozo?
Wachukue hata crane za jeshi zina uwezo mkubwa sana sio mpaka wakajipange sayansi kuangalia vi crane vya kukodi vya tone 7Wanadai wameagiza crane la tani 26 eti, hadi leo halijafika, daah
Ni kazi yetu waTz wote kushinikiza wanaohujumu huu mradi wachukuliwe hatua, miezi miwili crane la tani 26 halijapatikana, mradi wa Trillion 10 unakwama sababu ya winchi?!Wachukue hata crane za jeshi zina uwezo mkubwa sana sio mpaka wakajipange sayansi kuangalia vi crane vya kukodi vya tone 7
Inashangaza na inasikitisha maana mara ya mwisho mb Kalemani alisisitiza December maji yanaingia kwenye bwawa sasa waliopo wasitukatishe tamaa tunahitaji umeme wa bei nafuuNi kazi yetu waTz wote kushinikiza wanaohujumu huu mradi wachukuliwe hatua, miezi miwili crane la tani 26 halijapatikana, mradi wa Trillion 10 unakwama sababu ya winchi?!
Kalemani alisema November 15 bwawa lingenza kujanza, huyu February maplastiki ndio kaja na hizi ngonjera, hatuelewi nia yao na akina Nape ni ipo hasa?!Inashangaza na inasikitisha maana mara ya mwisho mb Kalemani alisisitiza December maji yanaingia kwenye bwawa sasa waliopo wasitukatishe tamaa tunahitaji umeme wa bei nafuu
Tuombe Mungu ataleta wepesi miradi yote mikubwa iishe kwa wakatiKalemani alisema November 15 bwawa lingenza kujanza, huyu February maplastiki ndio kaja na hizi ngonjera, hatuelewi nia yao na akina Nape ni ipo hasa?!
Hizo zooote mimi sina tatizo nazo, shida yangu ipo hapo kwenye Crane, hilo Crane la Tani26, linakuja lini?!Kalemani alijifanya mungu kwa kupuuza maelekezo ya wataalamu ili kumfurahisha Rais.Karibu fikra zake zimekuwa mgando mfano (1) Alisema Tanesco nguzo za umeme wa chini Lv ni bure tulipe kodi shs 27,000/- bila kujali ni REA.Je Tanesco Ina shamba la nguzo? Je Tanesco ikinunua nguzo kwa Mzabuni shs 170,000/- hiyo balance italipwa na nani? (2) Alisema miradi ya Rea hakuna kununua nguzo zote kutoka nje ya nchi tunajitosheleza mbn miradi imesimama hkn nguzo za kutoshereza miradi? (3) Mradi wa JNHP wataalamu walimpa schedule Of Work na Project Program s alizibeza na kusema maagizo yake yanatoka ngazi za juu serikalini,sasa ndo mkwamo sio crane yenye uwezo wa kunyanyus fuso (4) Aliweza kutoa maagizo katika mchakato wa kuagiza mafuta ya petrol na huifadhi kutoka nje ya nchi km PPRA ilivyopendekeza . Mfumo wake ulileta uhaba wa mafuta na TPDC karibu iingie matatani nk
Wewe ndiye msemaji waTanesco, au una chuki binafsi na Kalemani?Kalemani alijifanya mungu kwa kupuuza maelekezo ya wataalamu ili kumfurahisha Rais.Karibu fikra zake zimekuwa mgando mfano (1) Alisema Tanesco nguzo za umeme wa chini Lv ni bure tulipe kodi shs 27,000/- bila kujali ni REA.Je Tanesco Ina shamba la nguzo? Je Tanesco ikinunua nguzo kwa Mzabuni shs 170,000/- hiyo balance italipwa na nani? (2) Alisema miradi ya Rea hakuna kununua nguzo zote kutoka nje ya nchi tunajitosheleza mbn miradi imesimama hkn nguzo za kutoshereza miradi? (3) Mradi wa JNHP wataalamu walimpa schedule Of Work na Project Program s alizibeza na kusema maagizo yake yanatoka ngazi za juu serikalini,sasa ndo mkwamo sio crane yenye uwezo wa kunyanyus fuso (4) Aliweza kutoa maagizo katika mchakato wa kuagiza mafuta ya petrol na huifadhi kutoka nje ya nchi km PPRA ilivyopendekeza . Mfumo wake ulileta uhaba wa mafuta na TPDC karibu iingie matatani nk