Mbunge Sospeter Muhongo ameniogopesha kwa kauli yake kuhusu ujenzi wa bwawa la Rufiji; je, kuna haja ya wabunge wote kupimwa akili?

huu mradi ungekuwa haujaanza basi ungefutiliwa mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna fisadi anayeupenda huo mradi maana hauwanufaishi. Mitambo ya IPTL wakati ule ilikuwa ikiwashwa au usiwashwe walikuwa wanalipwa capacity charge milioni 400 kila siku. Kelele za kupinga huo mradi ni kutokana na kwamba utapunguza au kumaliza ulaji wa mafisadi.
 
Hskuna fisadi anayeupenda huo mradi maana hauwanufaishi. Mitambo ya IPTL wakati ule ilikuwa ikiwashwa au usiwashwe walikuwa wanalipwa capacity charge milioni 400 kila siku. Kelele za kupinga huo mradi ni kutokana na kwamba utapunguza au kumaliza ulaji wa mafisadi.
Tufanyeje sasa jamani? Hadi leo eti crane ya kubeba milango ya tani 26 bado haijapatikana, kweli?!!
 
Wachukue hata crane za jeshi zina uwezo mkubwa sana sio mpaka wakajipange sayansi kuangalia vi crane vya kukodi vya tone 7
Ni kazi yetu waTz wote kushinikiza wanaohujumu huu mradi wachukuliwe hatua, miezi miwili crane la tani 26 halijapatikana, mradi wa Trillion 10 unakwama sababu ya winchi?!
 
Inashangaza na inasikitisha maana mara ya mwisho mb Kalemani alisisitiza December maji yanaingia kwenye bwawa sasa waliopo wasitukatishe tamaa tunahitaji umeme wa bei nafuu
 
Kalemani alisema November 15 bwawa lingenza kujanza, huyu February maplastiki ndio kaja na hizi ngonjera, hatuelewi nia yao na akina Nape ni ipo hasa?!
 
Kalemani alijifanya mungu kwa kupuuza maelekezo ya wataalamu ili kumfurahisha Rais.Karibu fikra zake zimekuwa mgando mfano (1) Alisema Tanesco nguzo za umeme wa chini Lv ni bure tulipe kodi shs 27,000/- bila kujali ni REA.Je Tanesco Ina shamba la nguzo? Je Tanesco ikinunua nguzo kwa Mzabuni shs 170,000/- hiyo balance italipwa na nani? (2) Alisema miradi ya Rea hakuna kununua nguzo zote kutoka nje ya nchi tunajitosheleza mbn miradi imesimama hkn nguzo za kutoshereza miradi? (3) Mradi wa JNHP wataalamu walimpa schedule Of Work na Project Program s alizibeza na kusema maagizo yake yanatoka ngazi za juu serikalini,sasa ndo mkwamo sio crane yenye uwezo wa kunyanyus fuso (4) Aliweza kutoa maagizo katika mchakato wa kuagiza mafuta ya petrol na huifadhi kutoka nje ya nchi km PPRA ilivyopendekeza . Mfumo wake ulileta uhaba wa mafuta na TPDC karibu iingie matatani nk
 
Hizo zooote mimi sina tatizo nazo, shida yangu ipo hapo kwenye Crane, hilo Crane la Tani26, linakuja lini?!
 
Si uwataje majina yao tu mbn unandika kwa code unaogopa nn???
 
Kalemani alijifanya mungu kwa kupuuza maelekezo ya wataalamu ili kumfurahisha Rais.Karibu fikra zake zimekuwa mgando mfano (1) Alisema Tanesco nguzo za umeme wa chini Lv ni bure tulipe kodi shs 27,000/- bila kujali ni REA.Je Tanesco Ina shamba la nguzo? Je Tanesco ikinunua nguzo kwa Mzabuni shs 170,000/- hiyo balance italipwa na nani? (2) Alisema miradi ya Rea hakuna kununua nguzo zote kutoka nje ya nchi tunajitosheleza mbn miradi imesimama hkn nguzo za kutoshereza miradi? (3) Mradi wa JNHP wataalamu walimpa schedule Of Work na Project Program s alizibeza na kusema maagizo yake yanatoka ngazi za juu serikalini,sasa ndo mkwamo sio crane yenye uwezo wa kunyanyus fuso (4) Aliweza kutoa maagizo katika mchakato wa kuagiza mafuta ya petrol na huifadhi kutoka nje ya nchi km PPRA ilivyopendekeza . Mfumo wake ulileta uhaba wa mafuta na TPDC karibu iingie matatani nk
Wewe ndiye msemaji waTanesco, au una chuki binafsi na Kalemani?

Mtu lay man utajuaje mipango ya serikali, kama je inatia ruzuku zake kwenye hiyo program kuhamasisha raia wavute umeme?

Waziri haropoki ama kujitolea mada kichwani bila baraka za serikali.

Watu wanavyoumizwa na ukiritiba wa gharama za kuvuta umeme na tozo kibao kwa watumiaji hivi sasa, watu kama wewe ndiyo unazidi tu kufurahia?

Ni ajabu sana hii kwa kweli!
 
Back
Top Bottom