Mbunge Subira amvaa Profesa Tibaijuka sakata la Bandari

Viti Maalum? hawezi hata tetea Nchi anaongea upuuzi so mule ndani anatasikia raha ajue siku atatoka na alichochuma kitaisha wanae na wajukuu ndio watasota
 
Samahani!
Kwenye katiba mpya kuna viti maalum?
Waiondoe haraka.
Kuhusu Prof, Subira endelea kusubiri.
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Subira Mgalu amemtaka Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kutopotosha umma kuhusu utaratibu uliofanyika bungeni kwenye kupitisha azimio la Bandari...
Wewe sijui kijukuu cha nani usishindane n Professor

Wewe straggling hujui hataa kwa hiyo kaushaa
 
Marais wa kiislam wanao upole ambao sisi wakristo tunauchukulia kama ni ujinga au uswahili.
Kwenye suala la nani afe na nani abaki, unaingia kwenye mamlaka yasiyokuhusu

Mwache mwenye shamba avune atamtakaye! Usiwe mjinga kijana!

Na suala la kufa halina uhusiano na dini ama viongozi wa upande upande!

Kuna msemo usemao! Wauwaji wengi huishi miaka miiingi sana kiasi kwamba uzee wao huwa ni kama mateso

Mfano! Wachawi na watenda mabaya! Huwa hawafi mapema ili wapate adhabu yao kwanza kali uzeeni!

utajuaje bhana?
 
Alichojofanya profesa ni kunawa kwa huu upuuz. Uwez ingia mkataba wa ovyo kama huu. Jaman pesa tunaacha rahaana utaona leo but unajiletea maugumu unako kwenda
 
Viti Maalum? hawezi hata tetea Nchi anaongea upuuzi so mule ndani anatasikia raha ajue siku atatoka na alichochuma kitaisha wanae na wajukuu ndio watasota
Huyu Dada ni CPA(T) na ni msomi mzuri tu na ni 'kichwa' haswa. Ana unasaba wa karibu sana na Jakaya Kikwete. Aliwahi 'kupewa' ukuu wa Wilaya ya Kisarawe wakati Mjomba wake ni Rais. Kama walivyo viti maalum wengi wa CCM kama huna ndugu 'kule juu' basi ili uwe mbunge wa viti maalum lazima utachezea 'mipini' ya wazeiya kama yote. Adhawaizi hutoboi
 
Marais wa kikristo wanaondoka mapema kwa presha na matatizo mengine ya kiafya, wakati wale wa kiislam wanadunda mpaka uzeeni.

Kusema hivyo sio kwamba siyajui mamlaka ya Mungu ndio ukweli wenyewe ambao hatupendi kuusikia.
 
Siyo kuwa namtisha lakini Tibaijuka alikuwa Profesa wa Economics. Kuwa na CPA (T) hakumfanyi kichwa kwenye hii kitu. Ni kama vile kutaka Daktari wa mifugo atupe ushauri kwenye hili. Aidha, msomi yeyote anajua namna ya kukosoa hoja. Huyu kaacha hoja kakimbilia kwenye platitudes. Tunasubiri mdahalo.

Amandla....
 
Wewe nawe Kumbe sawa na Bumunda lililoonza. Tunaongelea Bandari yetu bila kujali itikadi. Wapo CCM na WA vyama pinzani wenye akili za kipanya panya. Kuwaattach Wana CCM Kwa ujumla wao ni kutaka kufifisha juhudi za kupambana na wauza bandari zetu. Unless kama umetumwa kuja kutuvuruga.
 
Ccm Inapasuka Yenyewe
CCM haipasuki bali Wana CCM Wana haki ya kuwa na maoni kinzani. Ni tofauti na vyama vya upinzani Tanzania ambako ukiwa na maoni tofauti na Mwenyekiti unafukuzwa kwenye chama!
 
Mkuu miCCM yote ni mijambazi. Nitajie mCCM hata mmoja ambaye sio jambazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…