Mbunge Subira Mgalu: Bandari ya Dar Haijauzwa Puuzeni Wapotoshaji

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

MBUNGE SUBIRA MGALU: BANDARI YA DAR HAIJAUZWA PUUZENI WAPOTOSHAJI

Mbunge wa viti maalum CCM Mkoa wa Pwani na mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT Taifa Mhe. Subira Mgalu amewataka wananchi wa wilaya ya Biharamulo na Tanzania kwa ujumla kutokubali upotoshwaji unaofanywa na baadhi ya watu juu ya mkataba wa DP WORLD.

Mgalu ametoa wito huo Oktoba 02, 2023 wakati akizungumza na wananchi wa Nyakanazi wilayani Biharamulo kwenye mkutano wa hadhara ambapo amesema kuwa wale wote wanaopiga kelele juu ya mkataba wa Bandari wanapambania maslahi yao binafsi

Amesema kutokana na miradi mingi ya maendeleo ambayo imetekelezwa na serikali ya CCM wapinzani wao wanatumia mkataba wa bandari kama ajenda ya kisiasa kwakuwa nchi inaeleeka kwenye uchaguzi.

Amesema kuwa uwekezaji huo ukianza kufanya kazi serikali itaweza kuongeza makusanyo kutoka trioni 7 hadi trioni 26 fedha itakayochochoea ukuaji wa uchumi wa watanzania.

Amewataka watanzania kuendelea kumuamini Rais Dkt. Samia kwa namna anavyoiendesha nchi na maendeleo ambayo yanapatikana huku akifafanua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa hata moja.
 
Attachments

  • maxresdefaultMKJU.jpg
    maxresdefaultMKJU.jpg
    73.8 KB · Views: 1
Hatuwaamini mlisema mkataba hauna matatizo,ila ulivyopelekwa mahakamani mkaambiwa urekebishwe,so hatuwaamini
 
MBUNGE SUBIRA MGALU: BANDARI YA DAR HAIJAUZWA PUUZENI WAPOTOSHAJI

Mbunge wa viti maalum CCM Mkoa wa Pwani na mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT Taifa Mhe. Subira Mgalu amewataka wananchi wa wilaya ya Biharamulo na Tanzania kwa ujumla kutokubali upotoshwaji unaofanywa na baadhi ya watu juu ya mkataba wa DP WORLD.

Mgalu ametoa wito huo Oktoba 02, 2023 wakati akizungumza na wananchi wa Nyakanazi wilayani Biharamulo kwenye mkutano wa hadhara ambapo amesema kuwa wale wote wanaopiga kelele juu ya mkataba wa Bandari wanapambania maslahi yao binafsi

Amesema kutokana na miradi mingi ya maendeleo ambayo imetekelezwa na serikali ya CCM wapinzani wao wanatumia mkataba wa bandari kama ajenda ya kisiasa kwakuwa nchi inaeleeka kwenye uchaguzi.

Amesema kuwa uwekezaji huo ukianza kufanya kazi serikali itaweza kuongeza makusanyo kutoka trioni 7 hadi trioni 26 fedha itakayochochoea ukuaji wa uchumi wa watanzania.

Amewataka watanzania kuendelea kumuamini Rais Dkt. Samia kwa namna anavyoiendesha nchi na maendeleo ambayo yanapatikana huku akifafanua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa hata moja.
Nani kasema imeuzwa?

Sote tunajua tu bandari zote za Tanganyika wamepewa BURE na MILELE waarabu wa Dubai ili ikiwapendeza waziendeleze!
 
Mbunge viti maalum
Sawa na kupokea posho mshahara,pesa bure tu
Hii wangeifutilia mbali

Ova
 
MBUNGE SUBIRA MGALU: BANDARI YA DAR HAIJAUZWA PUUZENI WAPOTOSHAJI

Mbunge wa viti maalum CCM Mkoa wa Pwani na mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT Taifa Mhe. Subira Mgalu amewataka wananchi wa wilaya ya Biharamulo na Tanzania kwa ujumla kutokubali upotoshwaji unaofanywa na baadhi ya watu juu ya mkataba wa DP WORLD.

Mgalu ametoa wito huo Oktoba 02, 2023 wakati akizungumza na wananchi wa Nyakanazi wilayani Biharamulo kwenye mkutano wa hadhara ambapo amesema kuwa wale wote wanaopiga kelele juu ya mkataba wa Bandari wanapambania maslahi yao binafsi

Amesema kutokana na miradi mingi ya maendeleo ambayo imetekelezwa na serikali ya CCM wapinzani wao wanatumia mkataba wa bandari kama ajenda ya kisiasa kwakuwa nchi inaeleeka kwenye uchaguzi.

Amesema kuwa uwekezaji huo ukianza kufanya kazi serikali itaweza kuongeza makusanyo kutoka trioni 7 hadi trioni 26 fedha itakayochochoea ukuaji wa uchumi wa watanzania.

Amewataka watanzania kuendelea kumuamini Rais Dkt. Samia kwa namna anavyoiendesha nchi na maendeleo ambayo yanapatikana huku akifafanua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa hata moja.
Easy going wa bungeni ......tunawajuaa...
 
Daah tuwasikilize tena hawa Wabunge ambao waliunga hilo swala bila kupinga tena unamsikiliza Msukuma anaongea kama Eng wa maswala ya Bandari kisa kaenda Kutembelea bandari ya Dubai Nchi hii tuna utani sana na Mali za Waranzania kweli wakina kibajaji ndio wawe waamuzi wa Rasilimali za Watanzania huu nfumo ni wa hovyo sana aisee wanaamua bila hata kuwasiliana na wataalamu wao wanenda kutembelea Bandari eti...
 
Wimbo wao wa kumpa mwekezaji umebadilika au huo ni ubeti bado korasi
 
Back
Top Bottom