Mbunge Sugu ndani ya FNL ya EATV

Mbunge Sugu ndani ya FNL ya EATV

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,440
Reaction score
32,260
Mbunge sugu yupo fnl kukitambulisha kichupa chake na kujibu maswali wanayomuuliza mashabiki wake ....
 
Kumbe bado vinega wapo
 
Tusindikizie na picha mkuu wengine tupo mbali na access ya tv
 
Nimejaribu kusikiliza hoja za clouds walipokua wakijadili hii track ya sugu na pia nkamsikiliza sugu akiongelea hyo truck Eatv.

Ukweli ni kwamba Sugu kamdhulumu Mr Blue, kumbe Blue alimuomba kumshirikisha, Sugu akaingia tamaa akazunguka mlango wa nyuma akawarubuni akina master Jay akautoa wimbo yeye kama yeye.

Halaf nimemsikiliza Sugu vizur, Leo nimepata kujua kua Sugu ni kama Le Mutuz tu, akili zao changa na za kijinga sana na haziendani na umri wao.
 
Halaf nimemsikiliza Sugu vizur, Leo nimepata kujua kua Sugu ni kama Le Mutuz tu, skili zao changa na za kijinga sana na haziendani na umri wao.
Wewe mwenye akili kubwa umefanya nini Tanzania tukakufahamu??
 
Nimejaribu kusikiliza hoja za clouds walipokua wakijadili hii track ya sugu na pia nkamsikiliza sugu akiongelea hyo truck Eatv.

Ukweli ni kwamba Sugu kamdhulumu Mr Blue, kumbe Blue alimuomba kumshirikisha, Sugu akaingia tamaa akazunguka mlango wa nyuma akawarubuni akina master Jay akautoa wimbo yeye kama yeye.

Halaf nimemsikiliza Sugu vizur, Leo nimepata kujua kua Sugu ni kama Le Mutuz tu, akili zao changa na za kijinga sana na haziendani na umri wao.

Truck=track

Chembechembe za roho mbaya
 
Kamwabieni boss wenu vinega bado wapo naa wanakuja upyaaaa
 
Nimejaribu kusikiliza hoja za clouds walipokua wakijadili hii track ya sugu na pia nkamsikiliza sugu akiongelea hyo truck Eatv.

Ukweli ni kwamba Sugu kamdhulumu Mr Blue, kumbe Blue alimuomba kumshirikisha, Sugu akaingia tamaa akazunguka mlango wa nyuma akawarubuni akina master Jay akautoa wimbo yeye kama yeye.

Halaf nimemsikiliza Sugu vizur, Leo nimepata kujua kua Sugu ni kama Le Mutuz tu, akili zao changa na za kijinga sana na haziendani na umri wao.
acha wivu hautakusaidia
 
Umejaribu kusikiliza sawa, vipi ulijaribu na kuelewa?
 
Ha ha ha..la Mimi kujaza shimo mnalijua eeh!! Aya wakuu naona mmekua mbogo kuwasema vibaya hawa ndugu zetu. Msimind ni mtizamo tu na msinajua tena kila mtu ana ufahamu na namna anavyochukulia vitu kwa upande wake.

Cc. James Lembeli
Sema hata kamoja tu mkuu. Ila usiseme kuhusu kwenda uani hilo tunafahamu [emoji12]
 
Nimejaribu kusikiliza hoja za clouds walipokua wakijadili hii track ya sugu na pia nkamsikiliza sugu akiongelea hyo truck Eatv.

Ukweli ni kwamba Sugu kamdhulumu Mr Blue, kumbe Blue alimuomba kumshirikisha, Sugu akaingia tamaa akazunguka mlango wa nyuma akawarubuni akina master Jay akautoa wimbo yeye kama yeye.

Halaf nimemsikiliza Sugu vizur, Leo nimepata kujua kua Sugu ni kama Le Mutuz tu, akili zao changa na za kijinga sana na haziendani na umri wao.
Chief aidha una Chuki na Sugu au hujafuatilia hadi Misho. Je umemsikia CEO wa MJ Records Master Jay alichokisema? Umemsikia mmiliki wa hiyo Catalogue yule Mdogo wake na Master J alichosema kuhusu hiyo Beat?? Au umeme kwako uliwahi kukatika? Umesikia juu ya freedom project??

Kajipange tena kaka usiwe unakurupuka.
 
Sijakurupuka hata kidogo kiongozi. Nalinganisha hoja na si kumsikiliza tu sugu. Tafuta nafas ya kumsikiliza blue pia utaujua ukweli. Master Jay mchumia tumbo na hana kingine ndio maana kamsaliti dogo
Chief aidha una Chuki na Sugu au hujafuatilia hadi Misho. Je umemsikia CEO wa MJ Records Master Jay alichokisema? Umemsikia mmiliki wa hiyo Catalogue yule Mdogo wake na Master J alichosema kuhusu hiyo Beat?? Au umeme kwako uliwahi kukatika? Umesikia juu ya freedom project??

Kajipange tena kaka usiwe unakurupuka.
 
Nimejaribu kusikiliza hoja za clouds walipokua wakijadili hii track ya sugu na pia nkamsikiliza sugu akiongelea hyo truck Eatv.

Ukweli ni kwamba Sugu kamdhulumu Mr Blue, kumbe Blue alimuomba kumshirikisha, Sugu akaingia tamaa akazunguka mlango wa nyuma akawarubuni akina master Jay akautoa wimbo yeye kama yeye.

Halaf nimemsikiliza Sugu vizur, Leo nimepata kujua kua Sugu ni kama Le Mutuz tu, akili zao changa na za kijinga sana na haziendani na umri wao.
hapo pa LE MUTUZ noma saaaana
 
Back
Top Bottom