Mbunge Sugu ndani ya FNL ya EATV

Mbunge Sugu ndani ya FNL ya EATV

Chief aidha una Chuki na Sugu au hujafuatilia hadi Misho. Je umemsikia CEO wa MJ Records Master Jay alichokisema? Umemsikia mmiliki wa hiyo Catalogue yule Mdogo wake na Master J alichosema kuhusu hiyo Beat?? Au umeme kwako uliwahi kukatika? Umesikia juu ya freedom project??

Kajipange tena kaka usiwe unakurupuka.
Mkuu achana huyo kilaza!!
 
Nimesikiliza vizuri na nimeelewa vizuri,kutokana na maelezo ya Master J pamoja na DAXO inaonekana FREEDOM ni project inayoendelea na mshindi anatafutwa na atakaeitendea haki biti na chorus yake atajinyakulia Tsh5 milioni kwahiyo biti ni huru haina mwenyewe kila mtu anaweza kuifanyia kazi.
MAWAZO YANGU;
Mh Sugu katumia nguvu ya fedha kushawishi management ya MJ Records ili tuamini ni project endelevu na hii imekuja baada ya dogo(blue) kudai haki yake km mwenye wimbo.
 
Sijakurupuka hata kidogo kiongozi. Nalinganisha hoja na si kumsikiliza tu sugu. Tafuta nafas ya kumsikiliza blue pia utaujua ukweli. Master Jay mchumia tumbo na hana kingine ndio maana kamsaliti dogo
Kwa Mujibu wa Daxo Chali, na Management ya MJ Records mmiliki wa Catalogue ya Freedom ni Daxo ambaye alitengeneza Beat na kisha Mr. Blue kuiomba afanye wimbo na Sugu na akapewa Bure. Sasa kisheria Beat bado ni Mali ya mmili na mashairi ni Mali ya Mwimbaji na kwakuwa Beat ilikutwa Studio ndiyo maana Sugu alipoomba aimbe version yake alipewa na akafanya version yake.
Ili kuliweka hilo sawa wamesema Beat iko wazi kwa yeyote atayetaka aimbe freedom kwa kutumia the same Beat na nyimbo zote zitashindanishwa. Wimbo bora utapewa zawadi ya Milioni 5 na hadi Mr. Blue kaalikwa akarecord version yake. Sasa hapo kama Sugu kaiba ngoja wezi wengine wanakuja na akawashtaki pia.

Uache ku base on your own conclusion get it right. Kama ulifuatilia hadi mwisho naamini na hayo uliyasikia au yalikupita kushoto?

Huu ugonjwa tulio nao wa ku kataa ukweli ili kuconclude mawazo yetu ni mbaya sana Eti Master J mchumia tumbo how the hell did you know it??can you even Prove it? Badilika Mtanzania
 
Nimesikiliza vizuri na nimeelewa vizuri,kutokana na maelezo ya Master J pamoja na DAXO inaonekana FREEDOM ni project inayoendelea na mshindi anatafutwa na atakaeitendea haki biti na chorus yake atajinyakulia Tsh5 milioni kwahiyo biti ni huru haina mwenyewe kila mtu anaweza kuifanyia kazi.
MAWAZO YANGU;
Mh Sugu katumia nguvu ya fedha kushawishi management ya MJ Records ili tuamini ni project endelevu na hii imekuja baada ya dogo(blue) kudai haki yake km mwenye wimbo.
Afadhali wewe umesema ni mawazo yako huyo jamaa analazimisha kuwa anachosema yeye ndiyo ukweli. Always tumezoea Watanzania kujiaminisha kuwa watu wadogo ndio wako oppressed bila hata ya kufuatilia kila kitu.
 
Nimejaribu kusikiliza hoja za clouds walipokua wakijadili hii track ya sugu na pia nkamsikiliza sugu akiongelea hyo truck Eatv.

Ukweli ni kwamba Sugu kamdhulumu Mr Blue, kumbe Blue alimuomba kumshirikisha, Sugu akaingia tamaa akazunguka mlango wa nyuma akawarubuni akina master Jay akautoa wimbo yeye kama yeye.

Halaf nimemsikiliza Sugu vizur, Leo nimepata kujua kua Sugu ni kama Le Mutuz tu, akili zao changa na za kijinga sana na haziendani na umri wao.

Ungekuwa na akili usingeandika kitu ambacho hakieleweki na wewe pia uko kwenye group moja kwa sbb naona akili zako zimeganda.
 
Naona sugu kuondoa maneno kaamua kuicha free kila mmoja atumie
 
Mimi tangu mwanzo nimeona Mr. Blue ana makosa. Na haya ni matatizo kwa vijana wengi hususani wasanii. Unaposema wimbo ni wako? Je unavyo vithibitisho kuweza kuhakikisha umma kuwa wimbo ni wako? Je mliandikishiana mikataba?
 
Mimi tangu mwanzo nimeona Mr. Blue ana makosa. Na haya ni matatizo kwa vijana wengi hususani wasanii. Unaposema wimbo ni wako? Je unavyo vithibitisho kuweza kuhakikisha umma kuwa wimbo ni wako? Je mliandikishiana mikataba?
Hana haki miliki ni kulalamika tu
 
Ninyi ndio mliotekwa kiakili na hao wasaliti. So far inaniwia vigumu sana kubishana humu. Sugu ni msaliti mtake msitake na huyo master J ndio msaliti mkubwa, hako kadogo kaliletwa studio kimbea mbea tu and nothing else.
Ungekuwa na akili usingeandika kitu ambacho hakieleweki na wewe pia uko kwenye group moja kwa sbb naona akili zako zimeganda.
 
Jamaa ka muonea dogo blue, cja penda kabsaaa
Mkuu nimesikiliza pande mbili za shilingi.

Nimehitimisha kua:-
Kosa sio la sugu bali waliompa beat sugu..hao wakina.MJ, macochali na daxochali.
Ndio.m maana Sugu ilikujiaminisha zaidi aliwaweka wote kwenye video kwa makusudi kabisa.

Ndio maana BLUE alitoa malalamiko yale hewani hata bila kwenda kuwaona hao ma producer.waliompa.beat bure.

Manake alijua fika wametoa baraka zote kwa sugu kutengeneza ule mziki
na yeye angelalamika wangemfunika. hata sugu alipohojiwa alijibu wenye muziki wako kwenye video.

Hawa ma producer ndio wangepaswa kum-block sugu
,may be walimuonea aibu
Kwasababu za ushikaji na.pengine.labda.kisheria.bado blue hana haki.miliki.nk



Pia Kuna kila mazingira kua Mr
Blue alichangia haya yote. Kwani alikua anaweka pozi kutoa ule mziki kila akisumbuliwa ma sugu
Hata yeye amekiri hilo.

Mpaka uvumilivu wa Sugu ukafika mwisho akaamua kutoa kivyake. Blue alipaswa kumpa sababu za msingi Sugu,. ni lini atatoa. Hakufanya hivyo..Mizinguo mingi imemuharibia blue..na kwa hili.no doubt, itakua imeshaathiri mahusiano yake na wao.


Kule Marekani Anorld Shwaznegger alifanya kwa siri kwenda kurekodi filamu ya expendible na Rambo. kwa hofu ingemchafulia nafasi yake kwa jamii kama Mayor alifanya haya kwa siri sana.

Sugu amefanya huu upuuzi akiwa kazini kama.mbunge. Inamaana hakuangalia muda wake kutumikia wananchi wake bali mambo yale binafsi. the Good news watanzania hatuliangalii hilo







Mimi tangu mwanzo nimeona Mr. Blue ana makosa. Na haya ni matatizo kwa vijana wengi hususani wasanii. Unaposema wimbo ni wako? Je unavyo vithibitisho kuweza kuhakikisha umma kuwa wimbo ni wako? Je mliandikishiana mikataba?
 
Nimejaribu kusikiliza hoja za clouds walipokua wakijadili hii track ya sugu na pia nkamsikiliza sugu akiongelea hyo truck Eatv.

Ukweli ni kwamba Sugu kamdhulumu Mr Blue, kumbe Blue alimuomba kumshirikisha, Sugu akaingia tamaa akazunguka mlango wa nyuma akawarubuni akina master Jay akautoa wimbo yeye kama yeye.

Halaf nimemsikiliza Sugu vizur, Leo nimepata kujua kua Sugu ni kama Le Mutuz tu, akili zao changa na za kijinga sana na haziendani na umri wao.

Jana niliangalia video ya huyo producer aliosema wimbo walimpa kwa love kama zawadi...point hapo ni kumpa kitu kama zawadi...halafu mwishoni anazungumza maswala ya wimbo haukulipiwa sasa nani atakulipa kitu ambacho ni zawadi halfu ukimsikiliza anavyoongea kwanza hana confidence kitu ukishatoa ndo umekitoa haina cha kwanza hakulipia na vitu vingine vingi..ila bongo fleva tatizo shule hawana...kwanza nyimbo yenyewe aliyorudia Mr II ni mbaya kama jamaa asingekua muimbaji tangu miaka ya zamani ni rahisi kusema jamaa hajui kuimba...akubali tu yeye ni old timer..mziki wa kuimba huku unaongea ushapitwa na wakati...
 
Jana niliangalia video ya huyo producer aliosema wimbo walimpa kwa love kama zawadi...point hapo ni kumpa kitu kama zawadi...halafu mwishoni anazungumza maswala ya wimbo haukulipiwa sasa nani atakulipa kitu ambacho ni zawadi halfu ukimsikiliza anavyoongea kwanza hana confidence kitu ukishatoa ndo umekitoa haina cha kwanza hakulipia na vitu vingine vingi..ila bongo fleva tatizo shule hawana...kwanza nyimbo yenyewe aliyorudia Mr II ni mbaya kama jamaa asingekua muimbaji tangu miaka ya zamani ni rahisi kusema jamaa hajui kuimba...akubali tu yeye ni old timer..mziki wa kuimba huku unaongea ushapitwa na wakati...


wimbo huu wa hovyo kabisa japo mi nawakubali wote bora wakae kimya sio hit song umezidiwa hata na ule wa chemical -sielew labda wanaupa promo.
 
wimbo huu wa hovyo kabisa japo mi nawakubali wote bora wakae kimya sio hit song umezidiwa hata na ule wa chemical -sielew labda wanaupa promo.
Style ya kizamani ya kuimba huku unaonea sasa hivi unafeli jamaa ni u legend tu umemsaidia mara mia hata Jay Mo..
 
Style ya kizamani ya kuimba huku unaonea sasa hivi unafeli jamaa ni u legend tu umemsaidia mara mia hata Jay Mo..


kabisa mkuu atapata aibu game imechenji akumbuke kuna wakina one stereo na kina nik mbish wapo bench hao ni wasanii wazur tu
 
MLIKUWA HAMJUI SUGU NA LEMUTUZ NI MARAFIKI? NAKUMBUKA KITAMBO 2014 NILITOA POST KUHUSU SUGU AISEE LEMUTUZ ALINISHAMBULIA ILE MBAYA

BAADHI YA COMMENT ZAKE NI HIZI HAPA.....






1
- Kaka how old are you? Kwani umri wako kaka ndio unaokupa hii authority ya kumfundisha Sugu mbunge what to say and how to say? So foolish wewe ni mtu wawapi unayeamini kwamba wewe tu ndiye mwenye lugha safi ila Sugu kwa vile haongei kama wewe basi lugha yake sio nzuri then how come yeye ni Mbunge na wewe sio? Umri wako ndio nini kaka ndio unakupa sababu ya kuwa mburulazzz wa kundika ujinga like this wewe ni nani kwamba unajua the standard ya kuongea ila waliomchagua Sugu hawajui who are u mamen kwenye hili Taifa la Tanzania? Sugu ni mbunge maana yake ni kwamba wananchi waliomchagua walijua lugha yake ni yao ndio maana wakamchagua sio wewe mburulazzz!!

- Wewe una utamaduni gani ambao umekufanya usiwe mbunge na yeye asiyekuwa nao akawa? Nyamaza wewe huna hoja ila una wivu mimi siwapendi Chadema lakini sio kwenda this low, tunataka kubadilika wajinga kama wewe mnalilia ujinga ujinga wa kizamani, peleka huko kaka Wananchi wa Mbeya waliomchagua Sugu wanaridhika na lugha yake walijua hii ndio lugha anayoiutmia kwenye muziki wake anaoimba wewe mbona hawakukuchagua kaka? Wewe una utamaduni gani zaidi ya ujinga wa kusumbuliwa na wivu, wacha kaka huna utamaduni wowote zaidi ya kusumbuliwa na wivu huna hoja jadili Sugu Kushindwa kwa Sugu kufanya kazi yake lakini ya lugha zake kwa wapenzi wake wa muziki hayakuhusu kaka!!

- Kaka mimi sio level yako hii ni ngoma kubwa mambo yangu huyawezi wewe sema anything you want ila wajinga hawana maisha kama yangu, halafu jifunze kuongea on your behalf kwa sababu wewe huna ruhusa ya kumuongela anybody ni mjinga mjinga sana unless unawaongelea wajinga kama sio wenye akili, ukiwa na nafasi njoo hapa ofisini kwangu nikufundishe namna ya kutumia mitandao kupata pesa sio kuharibu majina ya watu kama Sugu ambao sio llevel yako kaka, Sugu anauza muziki wake kwa wananchi wanaopenda hiyo lugha na wananchi wa jimbo lake wamemchagua kwa kujua kwamba anatumia hiyo lugha, pole sana wewe huna mamalaka yoyote hapa nchini kaka wala hakuna anyekujua, so nyamaza tu,

- Siwapendi Chadema lakini this is too low, wewe kama huwezi kudeal na hiyo lugha funga masikio ila hata mimi naongea hiyo lugha na nipo ok, kama vipi njoo hapa ofisi yangu ipo hapa karibu na sanamu ulipokuwa ubalozi wa Uingereza nipo gorofa ya tisa, njoo nikufundishe namana ya kutafuta pesa kwenye mitandao sio kwa kutumia njia ya kuwatukana wabunge huwezi kaka, pole sana ila huna hoja kabisa kwa sababu wewe ni no body wa kuamualia lugha watu wengine Tanzania nani kakupa hayo mamalaka?

- Shut up mamen and mind your busnesss!!



Le Big Show



2


- Mawazo kama yako ni ya hatari sana na ndio maana CCM tunapata taabu sana kubadilika kwa sababu tuna watu kama wewe wasiotaka kubadilika, alichoandika Sugu hakina tatizo lolote ndio lugha ya kisasa ya Vijana wengi wapiga kura mwaka 2015, kaka hao wanaotumia lugha hiyo ndio 65% ya wapiga kura uchaguzi ujao sasa kwa maneno kama yako ni vigumu sana kuwapata hawa kutupigia kura, kaka badilika huu sio ule wakati wa kizamani lazima kwenda na wakati,

- Halafu kwenye all your arguments unashindwa kukubali kwamba Sugu ni Mbunge aliyekuwa akiimba na kuongea hii mlugha kabla hajwa sasa kwa nini hukuenda kuwaambia wananchi wa jimbo lake wasimchague kwa sababu ya lugha zake za muziki, unakuja kulia now ameshakuwa mbunge eti ndio unamwambia aache lugha iliyompa ubunge foolish thinking kaka tafuta hoja za msingi huu ni ujinga at best!!

Le Mutuz






3- Kaka hata CCM hatuna vijana kama huyu, maana kule kuna waelewa wengi sana huyu najua mwenyewe chama chake labda cha Mrema!!

Le Mutuz




4
- I am down mamen u know!! this is wasap u got the juice in dem choppers u know! let it flow u know!! and den break that out u know!! with dem nigazz!! ha! ha! ha! this is wasap maan!1


Le big Show





5

- Kaka tumia akili kidogo sana, blog yangu inapitiwa na 55,000 visitors a day kati ya hawa 80% percent ni hawa vijana sasa unataka niwakimbie my clients wanaoniweka hapa mujini bongo? Yes I make money from that blog big money so infact tarehe 31/5/2014 nitawafanyia hawa Vijana bonge la party at Escape 1 Beach Club, I mean this is life and this are the times this are my clients I love them unajua kwa nini nitaenda nao na Blog mapaka wanakuwa watuwazima ndio mbinu za Biashara zinavyoataka uanze nao wakiwa Vijana, salute bro!!

Le Mutuz




5

- Kaka naomba kukwambia tena kwamba huna hoja nyamaza tu huna mamlaka yoyote ya kuwamulia watu wengine kwenye hili taifa namna ya kuongea umri wako umri wangu hauna anything to do na JF, Sugu ni Mbunge wewe sio kama lugha yako inagkuwa inakubalika wewe ungekuwa Mbunge sio sugu, maisha yangu hayakuhusu na yako hayanihusu hapa kinchotuhusu ni Taifa, mimi I am fine na maisha yangu tena I am happy than anytime in mylife now, I work for my self I am having a lot of fun with my life, sikujui ila wewe unanijua mpaka all the fun of mylife maana yake ni kwamba unanishobokea maana mimi sikujui wewe unasemna unanijua pole sana, msiwe mnakurupuka huku na hoja mufilisi!!

Le Mutuz



6 - Kaka hujui kazi zangu, labda niombe nikuambie maana hutaamini ninachofanya besides blog na soon nafungua Radio Station Morogoro na TV Station hapa Dar pamoja na mengine yote ninayofanya sasa kama mtoto wa mtu mkubwa kuwa na Radio Station na TV ni dhambi so be it mnasikia maneno maneno ya mitaani yasiyo na ukweli mnajibebesha vichwani na kujifanya kuwajua wengine hunijui wewe mburulazzz njoo nikuelemishe how I make my living Blog ni moja ya vtega uchumi vyangu uliza how much money I make from it huna hoja Sugu ni Mbunge aliyekubaliwa na wananchi wewe sio cause no body anakujua na lugha yako nzuri,

Le Mutuz



7 - Kaka hivi una mri gani mbona una mawazo ya kizee sana, pole sana haya sio mawazo open minded yanayotakiwa kuwa nayo 2014 kaka badilika hili Taifa linashindwa kwenda mbele kwa sababu ya watu wenye mawazo kama yako, pole sana Sugu nmimeishi naye USA, anaongea lugha hiyo hiyo toka aliporudi na mpaka anagombea ubunge wote wanajua kwamba ndio lugha yake, sasa wewe ulikuwa kugombea naye ubunge kusudi uwaambie wananchi wasimchangue kwa sababu ya lugha yake, kwani amemtukana mtu hapo?

- Viongozi wangapi wa Taifa tunasikia wanasema Mambo vipi kwenye mikutano hiyo sio lugha ya mtaani? Mkuu unanitia kichefu chefu sana na arguments zako za kizeee sana!!

Le Mutuz


8 - Kaka niambie ni vichaa wangapi hapa Tanzania wana Radio Station na TV Station? Huna hoja wacheni kurukia rukia umbeya na majungu ya mtaani mtu humjui unaanza kujifanya unamjua, kaka next two weeks ninaleta investors toka Marekani nitakuita uje kwenye mikutano yao ya kuwekeza hapa ujifunze maana ya lugha za pesa sio huuu ujinga ujinga unaandika hapa!!

Le Mutuz



9 - Kaka kuna watu wanaharibu sana sifa za hii mitandao ya kijamii kwa kuandika pumba sana na huyu jamaa ni mmojawapo nilitaka kumfahamisha anayoyasikia huko mtaaani kuhusu mimi sio kweli ukweli ni huu hapa ninaompa mwenyewe hapa live, mimi sipendi ujinga ujinga na majungu majungu na kujifanya kujua sana watu humu wewe hapa humlipii maisha mtu yoyote, Sugu is my friend nimeishi naye USA I am proud of him kuwa Mbunge after a rough lige tuliyoishi kule ugenini,

- Lakini la msingi nataka WaTanzania tufike mahali tuheshimu uwezo wa mtu kwa kazi yake kwa Taifa sio kujali mambo ya kujinga yasiyo bna msingi kwa maendeleo ya Taifa letu, sawa hatukubaliani itikadi na Chadema lakini haina maana kushupalia hoja za kijinga kama hizi, lugha ya mtu inakukosesaje usingizi mtu haikuhusu wala hakuhusu, I mean wewe umeona amenaza kunihukumu na mimi kisa amesikia maneno ya mtaani, sasa ndio ninampa facts kuhusu mimi asizozijua wacha kujifanya unawajua watu huku huwajui narudia tena next two weeks naleta matajiri wakubwa sana toka Marekani wanaokuja kutafuta kuwekeza hapa, sasa namuarifu huyu mburulazz aje kwenye mikutano ninayowatyarishia labsa atajifunza something kuliko kukumbatia huu ujinga ujinga,

- Na by the way Sugu ni mbunge na huyu jamaaa anyedai kuwa na lugha nzuri sana sio mbunge, tuna wabunge wezi tuna wabunge wanfanya mambo ya ajabu sana yeye ameona la lugha tu ambalo halina madhara yoyote? I mean mimi binafsi nina deal sana hawa Vijana wadogo, ambao ndio wapiga kura next uchaguzi kwa mawazo kama ya huyu jamaa hata kura hawataenda kupiga tunahitaji kuwakemea kwa lugha kali watu wote wanaotaka kutufarakanisha na Vijana wa Taifa hili!!

Le Mutuz



10 - Naona kelele zimekusihia kaka pole sana huwa siingii kwenye vita nisiyoijua ukiniona nimeshupalia topic hapa ujue ninaijua, wacha maneno ya mtaani kaka wacha kuchafua watu humu bila sababu lugha ya Sugu kama huipendi badilisha channel tu sio kulazmimisha kila mtu kwenye maisha awe na lugha kama yako please!!

- Binafsi Wamarekani wamenifundisha kuishi free and independent siwezi kuacha kuishi maisha yangu eti kwa sababu ya kuonekana hivi au vile na watu please, I live my life tena very happly asiyetaka maisha yangu too bad he has to put up with me kwa muda mrefu sana, sasa hivi nipo hapa ofisini toka saa kumi asubuhi nitatoka saa saba usiku nikitoka hapa Club, nikimaliza Club kesho saaa mbili nipo hapa tena kama kawaida, so why worry hapa ninajiajiri mwenyewe sina wa kumhofia, please wacheni maneno maneno ya mitaani na watu msiowajua, leta hoja hapa za kusaidia Taifa sio majungu na ujinga ujinga kama huu!! lugha ya Sugu ameiandika kwa inaowahusu that is all yaani Vijana kama hutaki badilisha tu channel!!

Le Mutuz




11
- Wacha wewe huna lolote maneno ya mitaani mntaka kugeuza hoja unaona ulivyopwaya, nenda wewe akili gani uliyonayo inayokwambia kufundisha watuwazima ambao hawakuhusu namna ya kuongea? Unasema una IQ kubwa really? watu wenye IQ kubwa kama yako ni wangapi umewahi kuwasikia wakikosa usingizi kwa lugha za wengine wasiowahusu? Pole sana kama wewe una big IQ mimi sihihitaji kabisa keep it!!

Le Mutuz
 
Dhuluma za huyo mtu ukizijadili zinabadilishwa zinakuwa za siasa ili kuficha ukweli. Hana hoja ya msingi ya kujitetea.

Uwezo wa Mungu utaonekana
 
Back
Top Bottom