Mbunge Sugu ndani ya FNL ya EATV

Mbunge Sugu ndani ya FNL ya EATV

Nimejaribu kusikiliza hoja za clouds walipokua wakijadili hii track ya sugu na pia nkamsikiliza sugu akiongelea hyo truck Eatv.

Ukweli ni kwamba Sugu kamdhulumu Mr Blue, kumbe Blue alimuomba kumshirikisha, Sugu akaingia tamaa akazunguka mlango wa nyuma akawarubuni akina master Jay akautoa wimbo yeye kama yeye.

Halaf nimemsikiliza Sugu vizur, Leo nimepata kujua kua Sugu ni kama Le Mutuz tu, akili zao changa na za kijinga sana na haziendani na umri wao.
nhahahaaa, kumbe le akili terrabyte wapo wengi eeh.
 
pamoja na kuzunguka media zote watu hawajamwelewa kabisa yani nyimbo imebuma style za miaka ya tisin analeta leo bora angemwachia blue ilo beat alioiba
 
Back
Top Bottom