Mbunge Tabasamu: Kuna uhaba wa walimu lakini hamtaki kuajiri

Mbunge Tabasamu: Kuna uhaba wa walimu lakini hamtaki kuajiri

Hizo sio ajira isipokua kuna idadi ya walimu 6000 waliostaafu, waliokufa na walioacha ajira hivo hiyo ni replacement ya kawaida. Mahitaji ya walimu ni makubwa shule nyingi hazina walimu mfano geita huko shule ina watoto karibu 600 darasa la kwanza hadi la saba na kuna walimu wawili tu, sijui umeelewa au bado?
Hiyo ni balaaa
 
Haba na haba... pongezi kwa Mh Rais SSH kwa kuchukua hatua hii stahiki wakati mwafaka.
 
Mbunge wa Jimbo la Sengerema (CCM), Hamis Hussein Tabasamu, amesema licha ya uwepo wa upungufu wa walimu na waliosomea kuwepo mitaani, Serikali imekuwa haitoi Ajira...
Wanajenga SGR kwanza ajira badae
 
Yule ni mmiliki wa shule , ana shule zake , ni mdau wa Elimu Sana , hii serikali ya kijiwe jiwe inawaza madege tu. Ndo mana tunatofautiana kwenye kifo cha Magufuli , wengine wanaskitika wengine watafurah tu.
naijua shule yake 1 inaitwa tabasamu imepakana na nyasaka Islamic kule nyasaka,nilikuwa nikitoka kupiga pindi nyasaka Islamic nakwenda pale shuleni kwake kupoteza muda,kulikuwa kuna mji unaonekana kwa mbali sana nikipenda kuutazama muda wa jioni,ila sikuwahi kujua ni mji gani hadi nahama kule kuja kwetu
 
Hamis Hussein Tabasamu, mbunge wa elimu ya std 7, leo umeamka vizuri
Mbunge wa Jimbo la Sengerema (CCM), Hamis Hussein Tabasamu, amesema licha ya uwepo wa upungufu wa walimu na waliosomea kuwepo mitaani, Serikali imekuwa haitoi Ajira

Amesema, "Mimi nafikiri Mtaala wa Ualimu ufutwe katika Vyuo Vikuu kwasababu watu wanapelekwa kusomea Ualimu lakini wanaendelea kuwepo mitaani

Ameongeza, "Watu wanaenda kusomea Ualimu, una upungufu hautaki kuajiri. Hawa Vijana wetu itakuwaje? Upungufu tunao, lakini hamtaki kuajiri mnakuja na Ajira 6,000. Mimi nashindwa kuelewa hilo jambo"
 
Yule ni mmiliki wa shule , ana shule zake , ni mdau wa Elimu Sana , hii serikali ya kijiwe jiwe inawaza madege tu. Ndo mana tunatofautiana kwenye kifo cha Magufuli , wengine wanaskitika wengine watafurah tu.
Manake kama anazo shule huwa akitangaza kazi 3Wanaaply lakimoja anajua kuna wimbi kubwa la vijana mtaani
 
Back
Top Bottom