johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe na huyu kilaza Babu Tale aliyetangulia hajulikani,haya ndiyo Utopolo gani huu unatuwekea hapa?Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo
Babu Tale alisema alipokutana na hayati Magufuli aliulizwa mbona unafanya mambo makubwa una elimu gani? Babu Tale akamjibu ana Masters.
Source Eatv
My take; Masihara tunapoongea na viongozi siyo mazuri unaweza kuteuliwa.
Maendeleo hayana vyama!
Huyo zuzu hajui kama kuna vettingYaani Rais akuteue kwa sababu tu ya maelezo yako binafsi???
Huyo atakuwa Rais wa ajabu
Konyagi za jana zinamsumbuaWewe na huyu kilaza Babu Tale aliyetangulia hajulikani,haya ndiyo Utopolo gani huu unatuwekea hapa?
Babu Tale sio kilaza kivile uswahili pia unamponza,Wewe na huyu kilaza Babu Tale aliyetangulia hajulikani,haya ndiyo Utopolo gani huu unatuwekea hapa?
ππ€£Masters ya mambo ya uswahili pengine...msikariri unaweza ukamasta hata kuloga ili update pesa!!
Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo
Babu Tale alisema alipokutana na hayati Magufuli aliulizwa mbona unafanya mambo makubwa una elimu gani? Babu Tale akamjibu ana Masters.
Source Eatv
My take; Masihara tunapoongea na viongozi siyo mazuri unaweza kuteuliwa.
Maendeleo hayana vyama!
Kama yule makonda wa TPDC πππMara paaap, babu tale kateuliwa kuwa bosi wa TPDC...
Huyo zuzu hajui kama kuna vetting
Ndio maana akamchukua mtu wakweYaani Rais akuteue kwa sababu tu ya maelezo yako binafsi???
Huyo atakuwa Rais wa ajabu
Haina tatizo kwani mhusika alisema wampe watu wanaojua kusoma na kuandika tu.Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo