Mbunge Taletale: Nilimwambia Rais Magufuli (RIP) nina elimu ya Masters!

Mbunge Taletale: Nilimwambia Rais Magufuli (RIP) nina elimu ya Masters!

Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo

Babu Tale alisema alipokutana na hayati Magufuli aliulizwa mbona unafanya mambo makubwa una elimu gani? Babu Tale akamjibu ana Masters.

Source Eatv

My take; Masihara tunapoongea na viongozi siyo mazuri unaweza kuteuliwa.

Maendeleo hayana vyama!
Hata kuandika Master's hujui.
 
Tunamcheka babu tale hajasoma... ila wengi wetu hatuma hata robo ya mafanikio yake..

Amepiga sana hela kwa ku manage wasanii.. pia sasa anapiga maposho bungeni...

Sisi tunaomcheka tujiulize elimi yetu inatusaidia nini?
Kwa hiyo ukiwa na hela ndio udanganye umesoma?. Pamoja na Mihela yake anajua kuna kitu kinakosekana ndio maana anafake. Atateuliwa TPDC.
 
Yaani Rais akuteue kwa sababu tu ya maelezo yako binafsi???

Huyo atakuwa Rais wa ajabu
Kuna Rais mmoja was.nchi Fulani RIP ...Hilo.lilikuwa lilikuqa linawezekana sana!
 
Tunamcheka babu tale hajasoma... ila wengi wetu hatuma hata robo ya mafanikio yake..

Amepiga sana hela kwa ku manage wasanii.. pia sasa anapiga maposho bungeni...

Sisi tunaomcheka tujiulize elimi yetu inatusaidia nini?
Kwenye ku manage wasanii kuna biashara ya madawa ya kulevya.
 
Yaani Rais akuteue kwa sababu tu ya maelezo yako binafsi???

Huyo atakuwa Rais wa ajabu
Ndiyo, Rais Magufuli alikuwa wa ajabu maana alipenda mno sifa hata akawa anateua kwa kusifiwa tu huku akijua hakufanya lolote kustahili sifa.
 
Back
Top Bottom