Hata kuandika Master's hujui.Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo
Babu Tale alisema alipokutana na hayati Magufuli aliulizwa mbona unafanya mambo makubwa una elimu gani? Babu Tale akamjibu ana Masters.
Source Eatv
My take; Masihara tunapoongea na viongozi siyo mazuri unaweza kuteuliwa.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo ukiwa na hela ndio udanganye umesoma?. Pamoja na Mihela yake anajua kuna kitu kinakosekana ndio maana anafake. Atateuliwa TPDC.Tunamcheka babu tale hajasoma... ila wengi wetu hatuma hata robo ya mafanikio yake..
Amepiga sana hela kwa ku manage wasanii.. pia sasa anapiga maposho bungeni...
Sisi tunaomcheka tujiulize elimi yetu inatusaidia nini?
Kuna Rais mmoja was.nchi Fulani RIP ...Hilo.lilikuwa lilikuqa linawezekana sana!Yaani Rais akuteue kwa sababu tu ya maelezo yako binafsi???
Huyo atakuwa Rais wa ajabu
Kwenye ku manage wasanii kuna biashara ya madawa ya kulevya.Tunamcheka babu tale hajasoma... ila wengi wetu hatuma hata robo ya mafanikio yake..
Amepiga sana hela kwa ku manage wasanii.. pia sasa anapiga maposho bungeni...
Sisi tunaomcheka tujiulize elimi yetu inatusaidia nini?
Usimpandishe hadhi, huyu ni banana tu!Konyagi za jana zinamsumbua
Wamemuchoka sana mwendazakeYaani Rais akuteue kwa sababu tu ya maelezo yako binafsi???
Huyo atakuwa Rais wa ajabu
SureUsimpandishe hadhi, huyu ni banana tu!
Aibu yaoSiku hizi CCM hawana Vwtting..umesahau ni jana tu aliteuliwa mkurugenzi wa TPDC mbumbumbu na asubuhi wakamtengua.
Ndiyo, Rais Magufuli alikuwa wa ajabu maana alipenda mno sifa hata akawa anateua kwa kusifiwa tu huku akijua hakufanya lolote kustahili sifa.Yaani Rais akuteue kwa sababu tu ya maelezo yako binafsi???
Huyo atakuwa Rais wa ajabu