Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Aloooooo hii ni nomaaa, yaani huyu ndio akapata na nguvu za kutuita sisi kenge? Kweli?
Wizara ya Elimu embu njooni mtuambie hapa, hivi mtu anaweza kusoma form four miaka 16? Wachaaa banaaa! Hapo akapata cheti na akaenda shule nyingine akapata cheti pia, haya ni maajabu! Hajaishia hapo akapiga form 5 & 6 pamoja na Diploma kwa wakati mmoja! Bibi Tauhida atakuwa ni kilaza na kichwa kwa wakati mmoja

Yaani olevel kasanda weeee afu kwenye 5 na 6 akapata akili akaona aunge na diploma kabisa maana muda ulikuwa mchache.
Haya Bunge mje mtueleze imekuaje kuaje hapa kwa huyu kenge wetu mpendwa😂😂