PreGE2025 Mbunge Tauhida aliyetuita Kenge kasoma O-level kwa miaka 16 na kasoma Diploma na form 5 na 6 wakati mmoja. Bunge the math ain't mathing!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
284
Reaction score
870
Aloooooo hii ni nomaaa, yaani huyu ndio akapata na nguvu za kutuita sisi kenge? Kweli?

Wizara ya Elimu embu njooni mtuambie hapa, hivi mtu anaweza kusoma form four miaka 16? Wachaaa banaaa! Hapo akapata cheti na akaenda shule nyingine akapata cheti pia, haya ni maajabu! Hajaishia hapo akapiga form 5 & 6 pamoja na Diploma kwa wakati mmoja! Bibi Tauhida atakuwa ni kilaza na kichwa kwa wakati mmoja

Yaani olevel kasanda weeee afu kwenye 5 na 6 akapata akili akaona aunge na diploma kabisa maana muda ulikuwa mchache.

Haya Bunge mje mtueleze imekuaje kuaje hapa kwa huyu kenge wetu mpendwa😂😂

​
 
Kilaza namba moja.
 
Tlaatlaah chiembe Lucas Mwashambwa ChoiceVariable Malaria 2 nawasalulimu Wakuu wangu
 
Hivi Doto Magari ndio professor wa matusi au ni mimi ndio sijaielewa hiyo clip? Ingependeza sana huyu Doto Magari atoke hadharani sasa na aseme yeye hatukanagi mtu...
 
Huenda huyu kenge mwenzetu alikuwa anasoma mwezi mmoja ana postpone anarudi zake madrasa kidogo. Kuipa nafasi elim dunia na ya akhera kwa usawa
 
si kuna QT au? miaka 16 labda alienda olewa akarudi kwa mradi wa memkwa, kwani hawezi soma 5 na 6 kwa QT na akasoma diploma kwa kutumia cheti cha form four
 
Asante Kwa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…