PreGE2025 Mbunge Tauhida aliyetuita Kenge kasoma O-level kwa miaka 16 na kasoma Diploma na form 5 na 6 wakati mmoja. Bunge the math ain't mathing!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kigezo cha kuupata lazima atanuliwe sana nyuma na mbele. Ndio maana anajambia mdomoni kule kulishaharibiwa.
we dogo kuna mamazako humu, usitake kuwahangaisha wazazi wako kukutafuta
 
Yaani ukisema uchunguze elimu ya Kila mbunge mule ndani utakuta 70% ni vilaza alafu mtegemee waisimamie serikali? Thubutu!!
 
Bunge limejaa vilaza jmn yaani ukimsikiliza tu huyo ni mashudu tu
 
Sasa naamin jamaa mmoja alisema Hawa wanaoitwa special sit, wengi wao hupewa nafasi hizo kwa sababu ya kutembea na viongozi wa chama au mzazi wake anainfluence chamani.
Maanake kwa wale wanaopewa kwa kutembea na vigogo criteria sio shule... Ni kujiua utu wao.... Sasa maskini mtu huyo ndio akatunge sheria bungeni I!!?? 🥺 😁
 
Wazanzibar na kusoma ni mbingu na ardhi.
 
Hahahahahaaaaa!
Chadema chakavu bwana, Wana swaga za kishaaaamba kweli kweli.
 
Huyo ana maajabu mengi mkuu:

  • Elimu ya msingi miaka 9
  • Elimu ya upili miaka 16
  • 2012-2013 kasoma shule za sekondari mbili tofauti!
  • Mwaka 2013 alikuwa form 4 katika shule mbili za sekondari, na alikuwa diploma pia kule Community Concern TrainUng Institute
  • Mwaka 2014 akiwa first year huko TrainUng alijiunga form 5 katika shule ya sekondari
 
Kuna mbunge viti maalum CHADEMA kwa sasa covid19 alimaliza darasa la 7 mwaka 1995 ila hadi 2004 alikuwa anarudia mitihani ya form IV. Kimsingi karibu viti maalum wote wa vyama mbalimbali ni vilaza na huingia kwa nguvu ya papuchi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…