Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi (UWT) Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo ameambatana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Magharibi kukabidhi vifaa vya michezo na ujenzi katika Jimbo la Welezo.
Mbunge Tauhida na Mwenyekiti UWT Mkoa wa Magharibi wamekabidhi Vifaa vya Ujenzi (Simenti), Jezi za michezo kwaajili ya timu za mpira na T-shirt 👕 kwaajili ya kundi la Vijana wa hamasa Wadi ya Munduli Jimbo la Welezo.