Mbunge Tauhida Gallos akabidhi vifaa vya ujenzi na michezo Jimbo la Welezo Mkoa wa Magharibi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi (UWT) Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo ameambatana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Magharibi kukabidhi vifaa vya michezo na ujenzi katika Jimbo la Welezo.

Mbunge Tauhida na Mwenyekiti UWT Mkoa wa Magharibi wamekabidhi Vifaa vya Ujenzi (Simenti), Jezi za michezo kwaajili ya timu za mpira na T-shirt 👕 kwaajili ya kundi la Vijana wa hamasa Wadi ya Munduli Jimbo la Welezo.

 
Utakuta vifaa hivyo hata 100,000 having gharama yake,ila mikwala mingi media nyingi matangazo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…