Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Inawezekanaje miaka ambayo anaonyesha Yuko Sekondari
Hapo hapo inaonyesha anasoma Diploma ??.
Hawa wabunge wajinga wajinga wapo wengi mno wakiwemo akina Abasi Tarimba bungeni wanaongea upumbavu kuwa Gwajima aongelee Bungeni utekaji huku Busungwa yeye akiongelea vitisho kwa watanzania wanokataa vitendo vyake haramu vya kishetaniWakuu ,huyu Mbunge wa Viti MAALUMU alotumia MIAKA 18 kusoma Elimu ya Sekondari.
Na ambaye ameanza shule mwaka 1988 lakini mpaka 2015 akawa kaishia Diploma.
Inawezekana kabisa, Kalidanganya Bunge na Serikali juu ya Elimu yake.
View attachment 3346756
Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.
Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .
Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .
Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???
MBUNGE KALIDANGANYA BUNGE NA SERIKALI!!
Waziri wa mambo ya ndani yeye anatisha watu wanaosema ukweli juu mapungufu ya wizara take, Tanzania sasa imejaa ushetani mwingiUkiishi tz yataka uwe na moyo wa chuma
Waziri wa pesa naye kaiba jina la mtu
Una maana gani? Wabunge wajinga au wenye vyeti bandia waache kumsifia mama majina yarejee jimboni au una maana ipi?Onyo JF hipo chini utwala sasa
Huyo mbunge akiwaponda wanaharakati wa kenya Uganda tu vyeti vyake vinakuwa safi hakuna wa kuhoji, kwa sasa kazi ni moja kusifia sifia tukama amegushi vyeti na kuidcnganya JMT, Hukumu yake inajulikana ht na mimi kapuku wakili nisiye msomi
Anafaa akamtwe, apewe kesi ya uhujumi uchumi, kwa kula posho itokanayo na kodi ya walalahoi
Mfumo wetu wa elimu una awards zifuatazo:Wakuu ,huyu Mbunge wa Viti MAALUMU alotumia MIAKA 18 kusoma Elimu ya Sekondari.
Na ambaye ameanza shule mwaka 1988 lakini mpaka 2015 akawa kaishia Diploma.
Inawezekana kabisa, Kalidanganya Bunge na Serikali juu ya Elimu yake.
View attachment 3346756
Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.
Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .
Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .
Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???
MBUNGE KALIDANGANYA BUNGE NA SERIKALI!!
wanafuta na kutengeneza mambo ambayo nawapa ukweli.wamefuta mada zangu zote kuhusu CCm na kuzibadilishaHehehee....🤣
Makubwa haya....😜
Makubwa ni mengi sana ebu fikiria Busungwa anatengeneza Tatizo yeye alafu anamchochea mama awape nguvu Polisiccm kuwabambikia kesi za uongo chadema alafu anazuia wakenya waganda kuja kusikiliza tu kama wapenzi watazamaji, wanawasingizia Uongo kuwa wanaharibu Amani, kuna Amani gani inavunjwa kwa mtu kuwa msikilizaji tu? Leo Busungwa kaanza vitisho kuwatishia watanzania utazani hakuna maisha baada ya uwaziri , yeye anadhani atakuwa waxiri mileleHehehee....🤣
Makubwa haya....😜
Ungemsikia alichoongea Abasi Tarimba angejua ni kwa nini hupenda mkorogo kama mkongoman, wabunge sasa wanajitoa fahamu kulilia warejeshwe bungeni mwakaniElimu ni kazi asee🤣