Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 316
- 549
Yan mtu amemaliza primary miaka 2 mbele mimi nikazaliwa alaf secondary tukamaliza pamoja
hii ni futuhi😁😁
hii ni futuhi😁😁
Mfumo wetu wa elimu una awards zifuatazo:
◾️Certificate of Primary Education (CPE)
◾️Certificate of Secondary Education (CSE)
◾️Advanced Certificate of Secondary Education (ACSE)
Huyu kenge yeye kapata wapi hizi awards ziitwazo CPEE, CSEE na ACSEE? Kilaza ni kilaza tu; hajui hata majina ya awards alizopata!
Yan mtu amemaliza primary miaka 2 mbele mimi nikazaliwa alaf secondary tukamaliza pamoja
hii ni futuhi😁😁
Na Bashite mbona anadunda tu pamoja na wizi wa cheti! Ni wengi tu nchi hii kwenye ngzi za juu.Wakuu ,huyu Mbunge wa Viti MAALUMU alotumia MIAKA 18 kusoma Elimu ya Sekondari.
Na ambaye ameanza shule mwaka 1988 lakini mpaka 2015 akawa kaishia Diploma.
Inawezekana kabisa, Kalidanganya Bunge na Serikali juu ya Elimu yake.
View attachment 3346756
Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.
Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .
Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .
Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???
MBUNGE KALIDANGANYA BUNGE NA SERIKALI!!
Ukiprkua namna hiyo pale Mbungeni utabaki na wabunge wasiozidi 30!!Wakuu ,huyu Mbunge wa Viti MAALUMU alotumia MIAKA 18 kusoma Elimu ya Sekondari.
Na ambaye ameanza shule mwaka 1988 lakini mpaka 2015 akawa kaishia Diploma.
Inawezekana kabisa, Kalidanganya Bunge na Serikali juu ya Elimu yake.
View attachment 3346756
Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.
Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .
Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .
Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???
MBUNGE KALIDANGANYA BUNGE NA SERIKALI!!
Hivi ana uraia pacha?Makubwa ni mengi sana ebu fikiria Busungwa anatengeneza Tatizo yeye alafu anamchochea mama awape nguvu Polisiccm kuwabambikia kesi za uongo chadema alafu anazuia wakenya waganda kuja kusikiliza tu kama wapenzi watazamaji, wanawasingizia Uongo kuwa wanaharibu Amani, kuna Amani gani inavunjwa kwa mtu kuwa msikilizaji tu? Leo Busungwa kaanza vitisho kuwatishia watanzania utazani hakuna maisha baada ya uwaziri , yeye anadhani atakuwa waxiri milele
Dah, kumbe ndo maana i see!Wakuu ,huyu Mbunge wa Viti MAALUMU alotumia MIAKA 18 kusoma Elimu ya Sekondari.
Na ambaye ameanza shule mwaka 1988 lakini mpaka 2015 akawa kaishia Diploma.
Inawezekana kabisa, Kalidanganya Bunge na Serikali juu ya Elimu yake.
View attachment 3346756
Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.
Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .
Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .
Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???
MBUNGE KALIDANGANYA BUNGE NA SERIKALI!!
Je, ni Mbunge mwingine 'kihiyo.'?Wakuu ,huyu Mbunge wa Viti MAALUMU alotumia MIAKA 18 kusoma Elimu ya Sekondari.
Na ambaye ameanza shule mwaka 1988 lakini mpaka 2015 akawa kaishia Diploma.
Inawezekana kabisa, Kalidanganya Bunge na Serikali juu ya Elimu yake.
View attachment 3346756
Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.
Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .
Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .
Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???
MBUNGE KALIDANGANYA BUNGE NA SERIKALI!!
Polisiccm IGP Bishungwa lao ni moja wote wamekumbatia vitendo haramu vya kishetaniyaani hata yeye ukimuuiza alisoma wapi na lini?? hawez kukupa majibu sahihi
afande murilo kamata huyo mbunge tapeli, anagushi mihuri ya taasisi