Mbunge Tauhidi viti maalumu CCM Kalidanganya Bunge Elimu yake ya DIPLOMA , this is Serious !!

yaani hata yeye ukimuuiza alisoma wapi na lini?? hawez kukupa majibu sahihi

afande murilo kamata huyo mbunge tapeli, anagushi mihuri ya taasisi
Huyo afande na huyo mbunge elimu zao ni sawa.
 
Secondary school kasoma miaka 15, shule ya msingi miaka 8.
Bunge likivunjwa mwezi ujao anapata milioni 400 za Watanganyika.
ccm imesheheni Takataka zote vihiyo vilaza mbumbumbu wachawi ibirisi na mashetani wote
 
Inawezekanaje miaka ambayo anaonyesha Yuko Sekondari

Hapo hapo inaonyesha anasoma Diploma ??.
Elimu ya bongo Magumashi mengi sana unga unga za kutosha kinomanoma ukiwa straight unaheshimika kinomanoma
 
Sio kweli wewe ndio umezingua ila sitetei ukilaza wake. CSEE na ACSEE ndio sahihi. Hiyo E ya mwisho ni Examination na itambulika hivyo na Necta.
 
kama amegushi vyeti na kuidcnganya JMT, Hukumu yake inajulikana ht na mimi kapuku wakili nisiye msomi

Anafaa akamtwe, apewe kesi ya uhujumi uchumi, kwa kula posho itokanayo na kodi ya walalahoi
Je kuwa mbunge kunahitaji lazima uwe na diploma? Navyojua ni kusoma na kuandika tu!
 
Sio kweli wewe ndio umezingua ila sitetei ukilaza wake. CSEE na ACSEE ndio sahihi. Hiyo E ya mwisho ni Examination na itambulika hivyo na Necta.
Absolutely wrong! Why are you wasting our time? Au na wewe ni member wa hiyo club?

Examination sio part ya majina ya hizo awards. Mtihani unaokuwezesha kutunukiwa CPE ndiyo unaitwa CPEE, unaokuwezesha kutunukiwa CSE ndiyo unaitwa CSEE na unaokuwezesha kutunukiwa ACSE ndiyo unaitwa ACSEE.

Copies za CSE na ACSE hizi hapa ujionee mwenyewe:
 

Attachments

  • IMG_0387.jpeg
    620.2 KB · Views: 12
  • IMG_0388.jpeg
    379 KB · Views: 17
Aliteuliwa kwa kigezo cha kitu maalum sio elimu, msisahau ulikua ni uchafuzi wa jiwe kuleta hizi mbaga
 
Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???😁
 
kama amegushi vyeti na kuidcnganya JMT, Hukumu yake inajulikana ht na mimi kapuku wakili nisiye msomi

Anafaa akamtwe, apewe kesi ya uhujumi uchumi, kwa kula posho itokanayo na kodi ya walalahoi
Ukijua kusoma na kuandika mambo ya vyeti hayana umuhimu.
Wenye vyeti wakushitakiwa na walimu na madaktari tu wengine watarudi mtaani na kuwa majambazi kama JWTZ
 
Sasa wewe unafuta habari muhimu kwenye cheti unaacha namba na QR code? Ngoja nione kama inasomeka🙂
 
Huyu anatakiwa kupelekwa mahakamani ,kwa kudanganya unma,ndio maana anaita wananchi kuwa ni kenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…