Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
"Mimi nimesoma Skuli ya Kajificheni darasa la kwanza na tulikuwa tunakaa kwenye boksi, darasa la pili tulipewa mabao tukakaa bao moja tunakaa watu watatu. Siyo mbali na miaka iliyopita lakini leo mtoto wa Skuli binafsi na mtoto wa Skuli ya Serikali wanakaa sawa na baadhi ya Skuli binafsi ziko chini ya kiwango cha Skuli za Serikali" Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge wa Jimbo la Mpendae na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC)
"Jukumu la Serikali ni kuhakikisha unapata mazingira bora ya kupata riziki yako kwa kukuleta eimu, afya, usafiri wa kwenda kutafuta chajio chako, miundombinu rafiki ya Bandari na Airport ya namna ya kufikisha mizigo na mazingira rafiki ya kufanya biashara" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge na MNEC
"Serikali ya Rais Dkt. Hussen Alli Mwinyi imetekeleza miradi mikubwa, ni majukum yetu kuwaeleza wananchi. Kuna watu wanapeleka dhana potofu na kuwaambia watu Serikali haijatendea haki, ifike sehemu na sisi nyoyo zetu na nafsi zetu tujisute, safari hii lazima kwa umoja wetu lazima tutangaze mazuri yaliyofanywa na Serikali" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge na MNEC
"Namshukuru sana Katibu Uenezi, kuna waandishi wa habari inabidi tukaenao, tujumuikenao, tulenao na tuhongerekenao kwa kazi nzuri waliyoifanya kwa kutangaza kazi nzuri ya Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi na kama tumefanya vibaya ni muhimu sana tukumbushane" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge na MNEC
"Waandishi wa Habari mna nguvu na kazi kubwa sana ya kuelimisha jamii lakini pia kuisikia jamii inataka nini. Tumepata Rais anayesikia, hakuna Rais Bara la Afrika aliyeazisha utaratibu wa SeMA na RAIS utoe malalamiko yako yatekelezwe na yametekelezwa malalamiko kwa asilimia 80%. Leo nani kiongozi yuko tayari apigiwe simu aambiwe bwana na kero hii alafu akayafanyia kazi?, haiyawahi kutokea" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge na MNEC
"Ni majukumu yetu sisi kumtangazia na kuyasema kwani yanamgusa kila Mwanazanzibari, hayamgusi kila MwanaCCM ni kila Mzazibari. Sasa wanapotoka viongozi wakasema, hakuna kinachofanyika tunarubuniwa, hakuna maendeleo, tunadanganywa, jamani mwenye macho haambiwi tanzama maghorofa kila kona" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge na MNEC
"Nakuombeni sana Wazanzibar wote kuna video imetengenezwa ya miaka minne ya mambo yote yaliyofanywa na Serikali ya Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kila anayeondoka hapa awenayo ili iwe ushahidi wa utekelezaji ndani ya Zanzibar yetu" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge na MNEC
"Tusimame katika uadilifu, ni jukumu letu vijana na Wanahabari kuwahabarisha watu ukweli uliopo na wale watu waliokuwa wanazungumza mambo yasio ya ukweli basi tuwasute. Ni muhimu sana kwani tutakuja kuulizwa tulitendea nini taifa letu" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge na MNEC