simbamzeewamwakidila
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 1,447
- 378
Tusubiri tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inawezekana ikawa ndio sababu ya muhimu kabisa kuzuia ndoa kufungwa.Kiu fupi kawekewa pingamizi na wanaume aliozaa nao watoto watatu wa kwanza , hayo ya vyeti ni kumlindia heshima tu .......haka ka dada ni kuchafua sana .....
Kiu fupi kawekewa pingamizi na wanaume aliozaa nao watoto watatu wa kwanza , hayo ya vyeti ni kumlindia heshima tu .......haka ka dada ni kuchafua sana .....
Le mutuz alikuwa miongoni mwa waalikwa mashuhuri........
Kiu fupi kawekewa pingamizi na wanaume aliozaa nao watoto watatu wa kwanza , hayo ya vyeti ni kumlindia heshima tu .......haka ka dada ni kuchafua sana .....
Vicky kamata akiwa hoi hospital baada ya kuugua ghafla.
![]()
Nimesikia eti paroko anasema hana sifa ya kufunga ndoa.
Te teh teh kashanasa huyo,Jf bhana full vibweka...Anatapika asubuhi?
Nimeuliza tu mkuu!Yasije tokea yale ya Tanga mjamzito ajifungua wakati wa ndoa.Te teh teh kashanasa huyo,Jf bhana full vibweka...