Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Nani akubali chaka la simba?mbona mle bungeni hajaolewa na mbunge mwenzie,wenzao mle wapo wanaoana!mchafu sana huyu dada na atapasikia tu altareni na kiapo kitukufu kwenye tv
 
Hamjakutana na wanawake desperate na ndoa....ukute maandalizi yote hayo jamaa hajawahi hata ku propose...kwa nini agharimie hivyo na kutangaza kupita maelezo...usicheze na desperadooooo

Tusimuhukumu bure mzee wa kuchepuka 'mpaka atoke tamko'...kama atatoa...
 
Nani akubali chaka la simba?mbona mle bungeni hajaolewa na mbunge mwenzie,wenzao mle wapo wanaoana!mchafu sana huyu dada na atapasikia tu altareni na kiapo kitukufu kwenye tv

Shela tam alitaka atoe gundu ila bahati haikua yke,mwanamke akikuzidi uwezo utatumw mpka sokoni ila jamaa nimemkubali anajielewa kala hela sasa hivi atakua anamalizia finishing y nyumba ahamie n mkewe.
 
Inapokuja swala la mapenzi hakuna anayejua undani.......

Mke na mume wanapozungumza na kupanga yao hakuna ajuae isipokuwa hao wawili.....so sidhani kama kuna mtu anayeweza kusema kuwa wameachana wametengana wanang'ang'aniana nk nk nk....wakiwa wenyewe chumbani na suti zao za kuzaliwa hakuna ajuae ni siri yao wawili.......

Pia vicky achukue kama somo. Next time asikubali mwanaume kumlaghai sijui wametengana, wameachana, wanang'ang'aniana blah blah blah..... mpaka akabidhiwe kithibitisho. Nacho ni hati ya talaka.

Na wanaume muache utapeli. Alichofanya huyo mwanaume hakifai mbele za jamii
 
mmmnh km kweli vicky ana mimba ya huyu bwana basi pole big time,nisingependa kuwa na ukumbusho wa mahali nilipobugi ktk maisha yangu.......................
 
Reactions: Sal
desperadoo ni noma isee, big up kwa shyrose banji yeye anaingiaga mikataba ya kugegedana tu na si vinginevyo.
 
Vickiiiiiiiie ,siku mingi magazetini!
Toka enzi za Al Qaeda?
Wapi maimartha na viola?
R.I.P Amina!
Ungekuwepo wangesema umemteka Mr Mchepuko!
 
Mmmh,tutayasikia mengi sana!Ila lara1,,nimeipenda MBA( Married But Available),nimeongeza misamiati
 
Last edited by a moderator:
lara 1 tuchukue lipi?

Jana ulikuwa na story tofauti kuhusu hili sakata na ukawa unaaminisha unawafahamu hawa watu mwanzo mwisho , leo story nyinginee....... au ndiyo maneno ya kuunga unga mtaani?
 
Hivi wewe humjui huyo?
We tulia tuangalie movie.
 
Besti!!!
Mpaka hili lipite mbona tutasikia mengi sana???
 
Haswaaaaa kuna baadhi hadi mahari wanajitolea.....
 
Hivi wewe humjui huyo?
We tulia tuangalie movie.
mimi ndiyo maana jukwaa la celebrite siingiagi kwakweli........ ila sasa ndiyo naona likatupiwa mmu , thanks to mods wameihamisha.
wawe wanapost humu wengine tusione.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…