TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
vipi wataka kunikaribisha dinner?
Karibu tupate candle light dinner..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi wataka kunikaribisha dinner?
Huyo wa kushoto, mwenye suti mblaki sio yeye ?
Besti!!!
Mpaka hili lipite mbona tutasikia mengi sana???
JANA ILIKUWA NANI ALAUMIWE NA NIKASEMA VICKY HANA KOSA COZ NAMJUA HUYU BABA NI VAMPIRE KITAMBOOO!lara 1 tuchukue lipi?
Jana ulikuwa na story tofauti kuhusu hili sakata na ukawa unaaminisha unawafahamu hawa watu mwanzo mwisho , leo story nyinginee....... au ndiyo maneno ya kuunga unga mtaani?
Usomi wenu huko huko muwatishie ambao hawajasoma, naandika navoona inanipendeza hutaki USISOME!Umeiwasilisha stor ki udaku na ki upashukuna mno, imekosa hata mvuto, andika vizuri tena koz wasomi wengi wanapita hapa
stori gani imebadilika? KUCHOKWA MUHUSIKA KUKO PALE PALE NDO MAANA MTU ANAKIWA VAMPIRE!Na kweli bestii , ila waseme tu na siyo kutuaminisha wanayajua ya inner circle inside out halafu wanabadili badili story zao humu.
Usomi wenu huko huko muwatishie ambao hawajasoma, naandika navoona inanipendeza hutaki USISOME!
I dont remember officially EVER LIKE EVER inviting you to read or comment in any of my threads! AND IT WILL NEVER HAPPEN!mimi ndiyo maana jukwaa la celebrite siingiagi kwakweli........ ila sasa ndiyo naona likatupiwa mmu , thanks to mods wameihamisha.
wawe wanapost humu wengine tusione.
asante, next time i will attend, ndio nimemaliza dinner yangu ya mchemsho wa sato sasa nimerudi kwenye threadKaribu tupate candle light dinner..
msafara wa mamba na kenge hawakoseni, achana na jingaz.I dont remember officially EVER LIKE EVER inviting you to read or comment in any of my threads! AND IT WILL NEVER HAPPEN!
Umeiwasilisha stor ki udaku na ki upashukuna mno, imekosa hata mvuto, andika vizuri tena koz wasomi wengi wanapita hapa
vipi mamy ile stori mbona umeikatisha
hii hapa itengenezwe movie based in a true story
mke aloibiwa awe riyama ali
vicky acheze monalisa...
huyo mbaba charz sijui acheze gabo au dude
movie iongozwe na jb
watoto tutatafuta
#pole sana vicky
I dont remember officially EVER LIKE EVER inviting you to read or comment in any of my threads! AND IT WILL NEVER HAPPEN!
WHO I AM DEPENDS ON WHO YOU ARE! Watu mda mwinhine wanakuwa kama nawafosi kuja humuuu au nawabembelezaaa WAKATI HII NI FREE COUTRY! Kama hutaki kuja KILICHOKULETA.?Lara1 mdogo wangu kwa kuwa wewe ndo mleta uzi na kama wasomaji hawajakuelewa,wasikilize na kubali kukosolewa na huo ndo uungwana. Si wote wanajua hiyo language yako.
Lakini kutokana na heading inavyovutia kila mtu angependa kujua the story from the vampire wife's mouth.