Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Umeiwasilisha stor ki udaku na ki upashukuna mno, imekosa hata mvuto, andika vizuri tena koz wasomi wengi wanapita hapa
 
lara 1 tuchukue lipi?

Jana ulikuwa na story tofauti kuhusu hili sakata na ukawa unaaminisha unawafahamu hawa watu mwanzo mwisho , leo story nyinginee....... au ndiyo maneno ya kuunga unga mtaani?
JANA ILIKUWA NANI ALAUMIWE NA NIKASEMA VICKY HANA KOSA COZ NAMJUA HUYU BABA NI VAMPIRE KITAMBOOO!

LEO NIMELETAN SIDE B YA MKE MTU, MAANA WATU MLIKUWA MNAPAYUKA MSIVOVIJUA!

Una swali lingine? Uaminimlipi KWANI LIPI LIMEBADILIKA?
 
Umeiwasilisha stor ki udaku na ki upashukuna mno, imekosa hata mvuto, andika vizuri tena koz wasomi wengi wanapita hapa
Usomi wenu huko huko muwatishie ambao hawajasoma, naandika navoona inanipendeza hutaki USISOME!
 
Na kweli bestii , ila waseme tu na siyo kutuaminisha wanayajua ya inner circle inside out halafu wanabadili badili story zao humu.
stori gani imebadilika? KUCHOKWA MUHUSIKA KUKO PALE PALE NDO MAANA MTU ANAKIWA VAMPIRE!
 
mimi ndiyo maana jukwaa la celebrite siingiagi kwakweli........ ila sasa ndiyo naona likatupiwa mmu , thanks to mods wameihamisha.
wawe wanapost humu wengine tusione.
I dont remember officially EVER LIKE EVER inviting you to read or comment in any of my threads! AND IT WILL NEVER HAPPEN!
 
Umeiwasilisha stor ki udaku na ki upashukuna mno, imekosa hata mvuto, andika vizuri tena koz wasomi wengi wanapita hapa

kuna jukwaa la great thinkers hapa jf na jukwaa la elimu, usomi wao wapeleke huko.

Naungana na lara1 usomi watishie waliokimbia shule.
 
hii hapa itengenezwe movie based in a true story

mke aloibiwa awe riyama ali

vicky acheze monalisa...

huyo mbaba charz sijui acheze gabo au dude

movie iongozwe na jb

watoto tutatafuta

#pole sana vicky

Dude......halafu vicky= wolper.......heeeheeee
 
hii hapa itengenezwe movie based in a true story

mke aloibiwa awe riyama ali

vicky acheze monalisa...

huyo mbaba charz sijui acheze gabo au dude

movie iongozwe na jb

watoto tutatafuta

#pole sana vicky

Huyo hasaa ndio ana fit,maana ana maneno ya fedhuli hasa!!!
 
I dont remember officially EVER LIKE EVER inviting you to read or comment in any of my threads! AND IT WILL NEVER HAPPEN!

Lara1 mdogo wangu kwa kuwa wewe ndo mleta uzi na kama wasomaji hawajakuelewa,wasikilize na kubali kukosolewa na huo ndo uungwana. Si wote wanajua hiyo language yako.
Lakini kutokana na heading inavyovutia kila mtu angependa kujua the story from the vampire wife's mouth.
 
WHO I AM DEPENDS ON WHO YOU ARE! Watu mda mwinhine wanakuwa kama nawafosi kuja humuuu au nawabembelezaaa WAKATI HII NI FREE COUTRY! Kama hutaki kuja KILICHOKULETA.?
Tunakumbushana tu UTUMWA WA NCHI NYERERE ALIUKOMBOAAAA! Majira yetu hayaaa kwanini ujifosi kusoma au kuchangia kiyu? ITS A FREE COUNTRY!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom