Nimeisoma hii kwenye blog moja maharufu kuwa Vicky hakuwa anataka kuolewa kwa mapenzi ila ni mambo ya political career ndio maana ndoa ilipigiwa promo na vyombo vingi vya habari including JF....
Ana mpango wa kugombea jimboni kwake huko Geita, sasa bila ndoa kaona wasukuma hawata muelewa...ndio hivyo kumganda mkaka waoane....kibaya zaidi ametaka iwe ni kwa mkataba; kwamba anamtumia kurudisha hishima...kwani keshakuwa promised na uwaziri (only in Tanzania) ...kwa kuwa kijana ni mjanja wa mjini kaona usinione zoba...ndio hayo....
Hajaiba cha ela za michango wala nini kwani wana kamati sijuhi waweka hazina walikuwa waheshimiwa wenzie...
Ndio maana anaendelea kucheza drama kupumbaza watu...kutafuta sympathy...
Hakuna cha mke kwenda kanisani kuzuia ndoa,
Hakuna cha kuugua,
Hakuna cha kutokuwa na vyeti vya ubatizo...
Jamaa kagoma kuoa; kagoma kutumika...na hawezi kukimbia kwani ni mfanyakazi wa 0713....