Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Leeteni habari kwa kiba tupate elewa mikasa ya wabunge wa viti maalumu maana wote style yao ni hiyohiyo
 
Kiu fupi kawekewa pingamizi na wanaume aliozaa nao watoto watatu wa kwanza , hayo ya vyeti ni kumlindia heshima tu .......haka ka dada ni kuchafua sana .....
Hii inawezekana ikawa ndio sababu ya muhimu kabisa kuzuia ndoa kufungwa.
 
Kiu fupi kawekewa pingamizi na wanaume aliozaa nao watoto watatu wa kwanza , hayo ya vyeti ni kumlindia heshima tu .......haka ka dada ni kuchafua sana .....


...Mmmmmh! Wanawake na maendeleo....!
 
Jana dokta wake kaongea Cloud kuwa anasumbuliwa na complications za mimba
 
Kaaazi kwelikweli, ndio matatizo ya kujitangaza bora angepiga kimya tu tungeelewa.
 
Kwa hiyo milioni 96 zinapotea hivihivi...
 
Kiu fupi kawekewa pingamizi na wanaume aliozaa nao watoto watatu wa kwanza , hayo ya vyeti ni kumlindia heshima tu .......haka ka dada ni kuchafua sana .....

Kwa Kanisa Katoliki kikwazo pekee, ambacho kwa kweli hakitenguliwi isipokuwa kwa kifo, ni kuwa na ndoa nyingine. Kama aliwahi kufunga ndoa na mmojawapo wa hao wanaume watatu (au mwingine yeyote) na mwenzake angali hai, na Kanisa likajulishwa, hapo ameula wa chuya. The best kwake ni kubadili dini ili aweze kufikia matarajio yake ya kuolewa tena.

Ila hao wanaume nao ni washenzi, kwani kuzaa na mwanamke ndio iwe sababu ya kumuwekea pingamizi? Huu ni ujinga uliopitwa na wakati. Hakuna sababu ya kumharibia dada wa watu maisha simply kwa kuwa umezaa naye au umemjengea nyumba au kumnunulia magari.

Naye huyo Vicky ana matatizo. Kwanza kuzaazaa ovyo (watoto wa3!); huyu maadili yake ni machafu. Wanasema kosa sio kosa bali kulirudia. Pili, kama alishafanya kosa mbwembwe zote hizo za nini? Eti harusi ya m.96, so what? Siku hizi hata Ulaya na Marekani wenye hela zao na umaarufu wa kupindukia hawafanyi mbwembwe za kijinga hivyo. Issues zinafanywa kimya kimya bila kustua waliolala. Eti ana mimba ndio inayomletea matatizo! Misifa mingine ya kijinga, mimba kaanza kuwa nayo yeye?
 
ILE ndoa inayodaiwa ikifungwa harusi yake itatafuna shilingi milioni 96 kati ya Mbunge wa Viti Maalum Geita kwa tiketi ya CCM, Vicky Paschal Kamata na mwanaume aliyejulikana kwa jina la Charles iko katika hatihati ya kufungwa kutokana na kuibuka kwa mizengwe.

Habari za ndani zinadai kuwa mizengwe iliyoibuka katika hatua za mwisho zimemfanya mwanaume huyo kuamua kubatilisha ndoa ambayo ilikuwa ifungwe Mei 24, mwaka huu jijini Dar es Salaam. "Kuna mizengwe mingi sana kwenye hii ndoa japokuwa iko katika hatua za mwisho lakini hatihati. Wapo watu wanasema kuwa mwanaume anadaiwa ana mwanamke mwingine, wengine wanasema ana mchumba ameshamlipia mahari kwa wazazi wake kwa
hiyo mambo yameshajulikana na jamaa akaona aachane na ndoa hiyo.

"Lakini katika yote hayo, ukweli ni kwamba kuna asilimia tisini ya ndoa kutofungwa hiyo Mei 24 ndicho ninachokijua mimi," alisema mtu mmoja wa karibu na familia ya wachumba hao. Vicky alipotafutwa kwa njia ya simu Jumamosi iliyopita iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa. Hata hivyo, Uwazi bado linayafanyia kazi madai hayo ambayo ni mazito na ya ndani.

Vicky kamata akiwa hoi hospital baada ya kuugua ghafla.

 
Nimeiona hii kwenye Gazeti la Mwananchi online kwamba Mheshimiwa Vick ameugua ghafla muda mchache kabla ya harusi yake kufanyika. Mlioko karibu huko fuatilieni zaidi na mtujuze zaidi
 

Attachments

  • 1400921344075.jpg
    19 KB · Views: 16,308
Ana gundu kweli jamani daah!yani ndoa kweli hupangwa na mungu
 
Nimesikia eti paroko anasema hana sifa ya kufunga ndoa.
 
Chinibya kapeti zinasema kuwa kawekewa pingamizi.

Mwanaume ni mume wa mtu.....mkewe kaweka pingamizi.....

Jamani wazee wa umbea wa mjini humu mbona mnaniangusha? Mie nilijua nitakuta data kamili zilizothibitishwa na tbs
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…