Mbunge haramu kijana WA pale Arusha mjini anapiga kelele tu zisizo na msingi.
Anaposema yeye awe wa pili kuombewa baada ya namba moja anamaanisha anatamani KITI cha namba mbili, tatu, Kisha moja.
Tukienda Ile tume ya mchongo na kuuliza data sahihi za ushindi wa kituo Kwa kituo, kata Kwa kata za mbunge huyo wa Arusha mjini hazipo na hazitoakuwepo.
Kaa Kwa kutulia, yule Muasisi wa tozo anakuangalia tu.
Tusubiri.