Chini ya 46 ni kijana...Makonda sio kijana.
..Ni mtu mzima anayeelekea kwenye uzee.
..labda akili zake ndogo na matamshi yake ya kijinga, ndio yanawafanya muamini kuwa ni kijana, bado anakuwa.
Dam Dam Dam Dam , mapicha picha yaendelee ila Dam ni nzito mnoMbunge kijana WA pale Arusha mjini anapiga kelele tu zisizo na msingi.
Anaposema yeye awe wa pili kuombewa baada ya namba moja anamaanisha anatamani KITI cha namba mbili, tatu, Kisha moja.
Tukienda Ile tume ya mchongo na kuuliza data sahihi za ushindi wa kituo Kwa kituo, kata Kwa kata za mbunge huyo wa Arusha mjini hazipo na hazitoakuwepo.
Kaa Kwa kutulia, yule Muasisi wa tozo anakuangalia tu.
Tusubiri.
Anajiita mbabe utadhani anaweza paring hata na Pambalu tu!Dam Dam Dam Dam , mapicha picha yaendelee ila Dam ni nzito mno
Labda ubabe wa kuiba na kuua ila kwenye siasa safi yule huwezi kumwekea mdahalo hata na Mahinyila yule labda umpe kijana wa chaso first yearAnajiita mbabe utadhani anaweza paring hata na Pambalu tu!
Ila Kwa kumshambulia mzee Warioba wa kule kule, ipo siku tu.Labda ubabe wa kuiba na kuua ila kwenye siasa safi yule huwezi kumwekea mdahalo hata na Mahinyila yule labda umpe kijana wa chaso first year
Kwa hili haliishi mpaka liishe na atajutia sanaIla Kwa kumshambulia mzee Warioba wa kule kule, ipo siku tu.
Chini ya 46 ni kijana.
Mzee ni Wasira.
Luteni wa TPDF akigonga 45 analazimika kustaafu. Sasa huyo anastaafu kwa uzee au ujana?Chini ya 46 ni kijana.
Mzee ni Wasira.
Alisema mamake anarogwa,aombewe, na mrogwaji hakubishaSifuri tatu (3) ajipange naona sifuri 7 anataka kiti chake
Uraiani 45 kurudi chini ni kijanaLuteni wa TPDF akigonga 45 analazimika kustaafu. Sasa huyo anastaafu kwa uzee au ujana?
45 kurudi chini ni vijana Hadi 18..miaka 46 ni kijana?!!
..unanikumbusha kada wa Ccm aliyeng'ang'ania UVCcm akiitwa Sukwa Said Sukwa.
..nilidhani ukivuka miaka 35 wewe sio kijana tena.