USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
FIDIA KWA WALIOPISHA MRADI WA UMEME WA KUTOKA GEITA KWENDA NYAKANAZI.
Kulikuwa na mgogoro mkubwa wa wananchi wa kudai fidia kwa wananchi waliopisha mradi mkubwa wa umeme kutoka gaita hadi kituo kikubwa cha kupozea umeme cha nyakanazi na hasira ya wanachi ilikuwa juu ya serkali yao hasa taasisi ya TANESCO .
Mbunge wa biharamulo Mh Eng Ezra Chilewesa aliamua kuliftilia baada ya wananchi hao kumuomba alifanyie kazi wapate haki yao kwakuwa walikuwa wameshakata tamaa kabisa .
Hapa Mh mbunge ana kwa ana na naibu waziri mkuu Mh.Dotto Biteko na wananchi waliamua kufanya mkutano ambapo pia managers wa TANESCO walihudhuria na kupatika kwa suluhu ya malipo ya wakazi hao ya zaidi ya milioni 800 .
Ilikuwa furaha kuhakikishiwa na Mh.naibu waziri mkuu ambaye pia ni waziri wa nishati Dk Biteko kuwa pesa lazima ilipwe tena kwa wakati .
AKIAHIDI ANATEKELEZA KUW
A SHAHIDI.