USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
MBUNGE WA BIHARAMULO ATAKA UHARAKA WA UJENZI WA MAEGESHO YA MAGARI KATIKA CENTRE ZA BIHARAMULO, LUSAHUNGA, NYAKAHURA NA BIHARAMULO MJINI (NYAMAHANGA) ILI KUKUZA PATO LA JIMBO.
Leo 6.5.2025 bungeni Dodoma mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa ameitaka serikali kutoa majibu ya kwanini kuna kusuasua katika ujenzi wa maegesho ya magari mkubwa na madogo katika maeneo ya nyakahura, rusahunga na nyamahanga wakati halmashauri ya wilaya imeshatumia pesa kuweka maegesho ya muda katika maeneo hayo .
Akijibu swali hilo naibu waziri wa TAMISEMI mh Zainabu Katimba amesema wanasubiri andiko la mkurugenzi wa wilaya kuhusu uwekezaji huo .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Itakumbukwa kuwa kwa sasa biharamulo inao uwekezaji wa maegesho ya magari katika eneo la nyakanazi na sasa mbunge bingwa wa biharamulo anataka wilaya hiyo iliyo katika eneo bora kijiografia kuweka maegesho katika maeneo ya LUSAHUNGA na NYAKANAZI ili kuinua uchumi wa wilaya na wafanyabiashara wadogo katika wilaya yetu .
Mradi wa kuegesha magari katikan kata za nyakahura na LUSAHUNGA unahitaji kiasi cha bilioni 3 .4 ili kukamilika na utatoa ajira wakati wa ujenzi na ajira nyingi mara baada ya kukamilika kwake ikiwa ni mradi wa kimkakati wa kuinua pato wa wilaya na wananchi.
"BIHARAMULO INAMUHITAJI SANA ENG EZRA CHIWELESA ZAIDI YA WAKATI WOWOTE ULE "