USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
🇹🇿 MHE EZRA CHIWELESA AKABIDHI AMBULANCE KWAAJILI YA KUTOA HUDUMA KATIKA KATA YA NYAKAHURA, AKEMEA MATUMIZI YA LUGHA ZENYE UKALI KWA WANANCHI KUTOKA KWA WAHUDUMU WA AFYA - BIHARAMULO.
📸 Updates za Matukio 16/04/2025
📍 Ziara ya Kichama Oparesheni Ushindi Wa Kimbunga Wa CCM, Siasa ni Upendo. Jimbo la Biharamulo.
Mbunge Wa Jimbo la Biharamulo Magharibi Mhe Eng Ezra John chiwelesa amekabidhi gari la wagonjwa katika Kituo cha Afya Nyakahura ambacho kwa muda mrefu kilikuwa hakina gari la wagonjwa ikizingatiwa kuwa Kata hiyo ni kubwa. Akikabidhi gari hilo amewasihi watoa Huduma za Afya katika Kituo Hicho kuwahudumia wananchi pale wanapofika kwaajili ya kupatà Huduma huku akiwasisitiza na kukemea matumizi ya Lugha zisizo rafiki kwa wananchi.
Aidha Mhe Ezra Chiwelesa ametoa maelekezo mahsusi kwa kwa Mganga mfawidhi katika Kituo Afya Nyakahura kuhakikisha kuwa Kituo Hicho kinatoa Huduma ya upasuaji. Hafla hiyo imetanguliwa na mazungumzo na viongozi Wa CCM na mabalozi kutoka matawi ya Kata ya Nyakahura katika Eneo la Munzani.
TUNASONGA MBELE NA DR SAMIA NA ENG EZRA CHIWELESA 2025-2030 🇹🇿🔰🇹🇿🔰
📸 Updates za Matukio 16/04/2025
BACK TO BACK NON STOP📍 Ziara ya Kichama Oparesheni Ushindi Wa Kimbunga Wa CCM, Siasa ni Upendo. Jimbo la Biharamulo.