USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
UJENZI WA OFISI YA CCM NEMBA .
Mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa amewaunga mkono wanaCCM wa kata ya nemba na Diwani wao Mh Mihayo Miganyalo katika kujenga ofisi ya kisasa ya kuwatumikia wanaCCM katani nemba .
"Hili ni jambo kubwa sana nampongeza Diwani wenu Mihayo Miganyalo kwa hili jengo kubwa la ofisi na mimi nawachangia mifuko 50 ya saruji "alisema Chiwelesa.
Kwa sasa wanaCCM wa kata ya nemba wanaofisi ya kisasa baada ya MNEC Karim Amri kuwa changia mabati 100 kufanikisha ujenzi huo .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Diwani wa kata ya Nemba ambaye ni kaimu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya biharamulo amekuwa chachu kubwa ya maendeleo endelevu ya kata ya nemba.
BIHARAMULO INAMUHITAJI SANA ENG EZRA CHIWELESA.
Akiahidi anatekeleza kuwa sh
ahidi mkuu .