Mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa amewaunga mkono wanaCCM wa kata ya nemba na Diwani wao Mh Mihayo Miganyalo katika kujenga ofisi ya kisasa ya kuwatumikia wanaCCM katani nemba .
"Hili ni jambo kubwa sana nampongeza Diwani wenu Mihayo Miganyalo kwa hili jengo kubwa la ofisi na mimi nawachangia mifuko 50 ya saruji "alisema Chiwelesa.
Kwa sasa wanaCCM wa kata ya nemba wanaofisi ya kisasa baada ya MNEC Karim Amri kuwa changia mabati 100 kufanikisha ujenzi huo .