PreGE2025 Mbunge wa Biharamulo na usimamizi bora wa ujenzi wa shule mpya jimboni

PreGE2025 Mbunge wa Biharamulo na usimamizi bora wa ujenzi wa shule mpya jimboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
UJENZI WA MRADI MKUBWA WA SHULE MPYA YA MSINGI KABINDI B ILIYOPO KATA YA KABINDI - BIHARAMULO.

Shule hii ni mpya ,haikuwepo kabla hapa kuna juhudi za mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra Chiwelesa, serkali ya awamu ya sita ya Mh rais Samia suluhu Hasan na wananchi wa kata ya kbindi .

Ujenzi huu ni kuhuisha ndoto ya muda mrefu ya mbunge Chiwelesa kuhakikisha elimu inatolewa kufuata watu na sio watu wafuate elimu .

Shule hii ya kisasa na mpya inaakisi jitihada za makusudi za mbunge wa biharamulo, diwani wa kabindi,rais Samia suluhu Hasan na chama cha mapinduzi katika kutoa elimu bora katika miundombinu kamili.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kukamilika kwa ujenzi huu kunatoa fursa kwa wanafunzi na walimu kujumuika katika shule nzuri ya kusomea na kufundisha kuendana na hali ya teknolojia ya dunia ya sasa.

Kwa sasa biharamulo inamuhitaji sana Eng Ezra Chiwelesa kuliko mtu yeyote.

AKIAHIDI ANATEKELEZA K
IMG_20250516_131243.jpg
UWA SHAHIDI
 
Back
Top Bottom