TANZIA Mbunge wa bunge la Kenya Charles Were apigwa risasi na kufariki

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,954
Reaction score
80,256
Vyombo vya Kenya Jana usiku vilitoa habari ya kuuliwa kwa Mbunge Were aliyepigwa risasi na mtu aliyekuwa anayeendesha pikipiki.

Tukio hili limetokea baada ya Mbunge huyu wa ODM kuliomba jeshi la polisi la Kenya kumpatia ulinzi kutokana na vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana kwa wiki kadhaa zilizopita.

Chanzo: Citizen tv
 
Hizi ndiyo Siasa za nchi za Afrika Mashariki, ni mwendo wa kuua Wapinzani wao!

 
😭 hivi wauwaji mnajua uchungu watakaopata watoto/mke na mama na baba yake.
 
😭 hivi wauwaji mnajua uchungu watakaopata watoto/mke na mama na baba yake.
Muuaji hana uchungu na watoto au mke wa wengine. Hili ndilo kosa tunalifanya sana waafrika. Kujaribu kuchukulia wauaji kama ni binamu wa kawaida kama sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…